Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DSM
aura mall.jpg
 
kibano heavy kimekimbiza nyang'au wote,

Wameenda kutafakari kama wana nairobi nyingine au ni hii hii wanayoishi
 
kibano heavy kimekimbiza nyang'au wote,

Wameenda kutafakari kama wana nairobi nyingine au ni hii hii wanayoishi
hawana ujasiri wa kukumbia....ukabila umewafanya wakenya wakose national solidarity.
watarejea tu. mark my words.
 
😳😳😱😱😡😡😡 kitu ntasema tu. Yaani hata sijui niseme. 😡😡😡😡😱😱😳😳😳 Wakenya tusije tena kujidhalilisha kufananisha mji wowote Kenya na hii takataka kama sio Dadaab ama Kakuma. NKT😡😡😡

NIMEKOMA KABISA KHERI MOD AFUNGE UZI KABISA. WHAAAAAAAT
wewe tulishawahi kukupa kibano heavy 2017,ukatoweka jf. ukajificha for a half a year, ukawa unaingia jf kwa kujificha.

ukawa unatutambia eti utaenda kujificha nairaland. nashangaa sijui kitu gani kimekurudisha jf.

kwa taarifa yenu tu, hii battle itaendelea mpaka 2025.
 
Meanwhile Timu ya Kenya yashinda COPA Africa 2018 Baada ya kuicharaza Nigeria.
 
Back
Top Bottom