Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kisumu is hosting the big Three today
kondele.jpg
 
Ndio maana huwa najisemea Wakenya waliopo jf kwa sasa ni Vilaza wakutupwa
yaani hiyo ni 5* labda ya dadako
Wacha tuendelee kufurahi yajayo maana yanazidi kutufurahisha[emoji1][emoji1][emoji1]

Hao ndiyo wakenya bhana
 
Ni bullet za maana kuna jamaa mmoja kanieleza anasema ni bullet za adabu yani ni za kipekee africa amenambia zitakua na uwezo wa ku record ubovu wa reli kokote na system zake ni hatari👏👏👏👏👏

Unamaanisha kama hiI? Aisee wazee wa mtambo wa gongo watakufa kwa kihoro!

 
Unamaanisha kama hiI? Aisee wazee wa mtambo wa gongo watakufa kwa kihoro!


Ni bullet za adabu tena very modern alaf signaling systems na communication system zake zitakua high technological na pia itakua inauwezo wa ku record digital sehemu yoyote yenye ihtilafu kwenye rail na kutoa signal kwenye base control
 
[emoji23][emoji23][emoji23]siku train ya tz ikianza safari nikumbushe,nitakulipia air ticket kutoka hapo uchago(nairobi),uje jiji la kisasa la maajabu dsm,upande train kabla hujazeeka huijui.[emoji38][emoji38]
Hahaha reverse psycology.......Nairobi is too big for darislum village
 
Back
Top Bottom