Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Beautiful Kenya
IMG_20181213_131015.jpeg
 
Tanzanians are minnows
....they should fight with Uganda maybe
Mnavoishi na mnavoongea vyote mnafeki. Niliona igizo moja la kenya nkastaajabu sana how come wanaume wote kwenye lile igizo ni weusi halafu hakuna mwanamke mweusi, now I know vera sidika ndio kielelezo cha tabia za wakenya
 
Kwa akili yako ndogo,unafikiri nyinyi Hanna madeni? Mbona mnasamehewa? Sababukuu nikushndwa kulipa
DUUUH...!!! Kuna watu mnavichwa vigumu aisee halafu unazungumzia masuala ya mimi kuleta hoja ,,kweli kwa style hii uliyonayo utawezana..?...ndiyo maana huwa sitaki kuweka hoja sababu najua asilimia kubwa ya wakenya ni vilaza siwezi tumia enegy yangu kwa kuwapa hoja vichaa hebu Soma vizuri nilichokuandikia kisha urudi tena kunijibu............au ushasahau ulichokipost awali nakama haujaelewa nilichokuandikia basi achana nacho fanya mengine nawajua A_Z how kenyan's stupid sorr mama hoja

#MAMA WA HOJA
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀you deserve an accolade.😛
 
madeni ni kitu cha kawaida maana hata USA ina madeni ila nyie mnaazima mabilioni halafu yanaliwa na wakora wa gvt halafu mwisho wa siku nchi inakuwa overwhelmed by debts na bado, subiri hadi wachina waanze kuweka bendera zao kwenye majengo yenu ya serikali ndo mtakapo amini
Huyo kuna kitu alivurunda kunijibu alisema kuwa sisi tumeshindwa kulipa madeni mpaka tumesamehewa madeni mara tatu na hiyo yote sababu ni maskini wakutupwa ....so kwa jicho la tatu huyo mama hoja she means kenya ni matajiri na hawana madeni pia hulipa madeni yote ila sisi hatuwezi kulipa madeni yetu
 
Hawa ni wale ambao wanadakia hoja ambazo hawaelewi.
 
Hio budget yenyewe hamuna pesa mumeamua kuuza mashirika ya umma😂😂😂😂😂😂😂😂

74b vs 52b usd 2017 so unataka kutuambia from 2017 to 2018 mumetoka 74 mpaka 88 unafkiri hio ni sawa na kula githeri😂😂😂😂
haha ni 88b kama inakuuma tafuta kamba ujinyonge kuna ile lorry ya MP itakubeba kwa mazishi
 
Back
Top Bottom