Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tutaelewana tu round hii. kama sio kwa lugha ya kiswahili na kingereza basi hata kwa lugha za kienyeji za makabila ya kenya.
Screenshot_2018-12-13-15-50-29-410_com.facebook.katana.jpeg
Screenshot_2018-12-13-15-53-19-930_com.facebook.katana.jpeg
 
kama jiji la hong-kong limefanikiwa ku overtake newyork katoka kuwa na namba kubwa ya watu wenye kipato kikubwa, basi ipo siku dar es salaam ita overtake nairobi kwa kasi ya maendeleo.. na dalili zinajionyesha wazi.

nairobi ijiandae kuvuliwa ubingwa na dar es salaam.
IMG_20181213_160708.jpeg
IMG_20181213_160745.jpeg
IMG_20181213_160912.jpeg
 
Nchi ya Tanzania wanaishi hand to mouth so si ajabu karibia kila MTU ni masikini hohe hahe kwa hivyo inawabidi masikini watoroke masikini wenzao na kuingia Nchi ya Asali na Maziwa...Kenya.
90% ,of homes in tanzania are mud walled hovels
 
Back
Top Bottom