Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Back in the days, Tanzania was still a laggard. Kenya has always led in EA.The others follow.
FB_IMG_15446910365624501.jpg
FB_IMG_15446913487337398.jpg
FB_IMG_15446913213655437.jpg
FB_IMG_15446912492861420.jpg
FB_IMG_15446913626992056.jpg
FB_IMG_15446910365624501.jpg
FB_IMG_15446913487337398.jpg
FB_IMG_15446912492861420.jpg
 
GDP kubwa gani hiyo ambayo mpaka leo meshindwa kujenga bwawa la just 700MW memwachia mchina atumie $2 billions halafu waoperate kwa miaka 20 ndio wawakabidhi? Wandugu msipite bila kufungua hii link
Source: British firm gets nod to build mega dam in Kenya
Do you think Kenya receive grants like you?
Halafu mkikopa mnashindwa kulipa. A very poor nation. Hivi majuzi mmesamehewa deni Mara ya tatu.
 
Nyie mnaoweza kulipa mbona deni la taifa lenu haliishi cha zaidi ni linazidi kuongezeka tu ?..pia mbona mnaongoza kuwa na deni kubwa kuliko hawa wanaosamehewa au kwasababu kenya haijawahi kusamehewa....?...au mlilipaga madeni Yote na mkayamaliza kisha mkaaza kukopa upya 2018

Baada yakunijibu hayo maswali naomba uje na evidence yakuonyesha kenya ikiwa imemaliza madeni ya taifa mnayodaiwa....,ili tuwatoe kwenye kundi la hawa wanaosamehewa mara tatu mfululizo
 
We know where people suffer in silence because they have no freedom of expression.
View attachment 966749
Kenya mko vizuri kwelikweli hadi india kuna njaa ilhali nyinyi mnafurahia maisha mazuri. Hongereni sana wakenya, kwakuwa wahindi wamewapa pia some knowledge za kitabibu kwa nini hamuwasaidii chakula? acheni uchoyo jamani. Inabidi tukashtaki kwa wazungu kuwa kenya ni wachoyo hamtusaidii chakula, au huenda hiki chakula tunachokula kimetoka kwenu nini.
 
Pole kwa maumivu.Quick recovery
FB_IMG_15445376442245190.jpg
FB_IMG_15445376903241562.jpg
FB_IMG_15445382709776951.jpg
FB_IMG_15445396277122216.jpg
 
Magufuli kiboko miaka 3
nchi inakimbizwa mwendo wa 15000km
Ubungo inter change
Tazara flyover
BRT
Salenda Bridge
SGR
Ndege 7
Bwawa kuubwa la umeme 2115Mgw
Barabara njia 8 na Flyover 2
Viwanja vya ndege

Mungu yu mwema Endelea kumpa Afya zaidi
Magu Bwana Nihatari
Hutu mtu hana mchezo
 
Nyie mnaoweza kulipa mbona deni la taifa lenu haliishi cha zaidi ni linazidi kuongezeka tu ?..pia mbona mnaongoza kuwa na deni kubwa kuliko hawa wanaosamehewa au kwasababu kenya haijawahi kusamehewa....?...au mlilipaga madeni Yote na mkayamaliza kisha mkaaza kukopa upya 2018

Baada yakunijibu hayo maswali naomba uje na evidence yakuonyesha kenya ikiwa imemaliza madeni ya taifa mnayodaiwa....,ili tuwatoe kwenye kundi la hawa wanaosamehewa mara tatu mfululizo
Kwa akili yako ndogo,unafikiri nyinyi Hanna madeni? Mbona mnasamehewa? Sababukuu nikushndwa kulipa
 
madeni ni kitu cha kawaida maana hata USA ina madeni ila nyie mnaazima mabilioni halafu yanaliwa na wakora wa gvt halafu mwisho wa siku nchi inakuwa overwhelmed by debts na bado, subiri hadi wachina waanze kuweka bendera zao kwenye majengo yenu ya serikali ndo mtakapo amini
 
Lol....kumbe mnatuombea hayo? Nani atapinga nikisema wabongowana roho mbaya?
 
Tunawaombea? oh please! we are busy building our nation love. Tabia zenu za kuwa greedy and selfish ambazo ziko kwenye DNA ya wakenya wote ndo zinasababisha muwe hivyo.
Lol...building ya nation by badmouthing others? Lol...We know who you're already. Hypocrisy is in ya DNA. Do you remember what you did to our maasai ?How 'bout the chicks? Remember??
 
Ok this is hilarious, we are telling the truth and the truth alone not badmouthing you. You people need someone to put you in your place. Trade wars btn TZ and Kny are so common so I wouldn't be surprised, we just take the hard way.
 
Tanzanians are minnows
....they should fight with Uganda maybe
Ok this is hilarious, we are telling the truth and the truth alone not badmouthing you. You people need someone to put you in your place. Trade wars btn TZ and Kny are so common so I wouldn't be surprised, we just take the hard way.
 
Lol...building ya nation by badmouthing others? Lol...We know who you're already. Hypocrisy is in ya DNA. Do you remember what you did to our maasai ?How 'bout the chicks? Remember??
You people lets stick to the battle hayo maswala ya nani mnafki na nani mwenye kutangazia wenzao vibaya anajulikana.
 
Back
Top Bottom