Hawapendi maendeleo ya wenzao kabisa roho zao mbaya sana ikiwa wao kwa wao hawapendani je wanje?? 10 yrs of developments in tanzania imefanya mambo zaidi ya miaka 40 ya kwa, yani miaka 40 walikua na opportunity ya kuendelea ila leo ukiwatazama hawana mbele wala nyuma😂😂😂😂😂
Haha lame excuse the guys that placed u at 51 USD are the ones that put kenya at usd 88b.gdp ya kwenye karatasi....hai-reflect na maisha halisi ya umasikini wanayoishi majority ya wakenya.
mamia ya vijana hawana ajira... wamebaki kupiga maround street za cbd na envelope mkononi wakitafuta job.
heheheheheee.... so unataka kusema, tanzania kuna mandondocha au???Kenya kuna watu Tz kuna maiti zitembeazo.Ukiwezachunga ng'ombe utoshindwa kuwatawala wtz.Watu waoga,wanafiki,wabinafsi,vigeugeu,hawana umoja,
Ndege tumoja hatupumui.....smhNimewaekea lugha zote mbili ili waelewe vizuriView attachment 966633View attachment 966634View attachment 966635View attachment 966637
Which budget is that?Haha lame excuse the guys that placed u at 51 USD are the ones that put kenya at usd 88b.
1. Kenya collects twice the revenue you do.
K.R.A 1.5 trillion
T.R.A 700 billion KES equivalent.
2.our budget is 3 times yours
3.Kenya Exports and imports more than u.
Why wont u use your mind TZ needs 50 years catch up with kenya.
Magufuli kiboko miaka 3
nchi inakimbizwa mwendo wa 15000km
Ubungo inter change
Tazara flyover
BRT
Salenda Bridge
SGR
Ndege 7
Bwawa kuubwa la umeme 2115Mgw
Barabara njia 8 na Flyover 2
Viwanja vya ndege
Mungu yu mwema Endelea kumpa Afya zaidi
beautiful boy naona umerejea....Haha lame excuse the guys that placed u at 51 USD are the ones that put kenya at usd 88b.
1. Kenya collects twice the revenue you do.
K.R.A 1.5 trillion
T.R.A 700 billion KES equivalent.
2.our budget is 3 times yours
3.Kenya Exports and imports more than u.
Why wont u use your mind TZ needs 50 years catch up with kenya.

Haha lame excuse the guys that placed u at 51 USD are the ones that put kenya at usd 88b.
1. Kenya collects twice the revenue you do.
K.R.A 1.5 trillion
T.R.A 700 billion KES equivalent.
2.our budget is 3 times yours
3.Kenya Exports and imports more than u.
Why wont u use your mind TZ needs 50 years catch up with kenya.
kwa ivo hio meli itabeba watu wote kutoka Kagera hadi Mtwara au Kigoma mpaka Tanga??? think young man. wacha kuwa na mawazo duni ya levo za ldcUmesahau meli kubwa inayojengwa ziwa victoria
We know where people suffer in silence because they have no freedom of expression.8 out of every10 Kenyans go to bed either hungry or never having had enough to eat, FACT. How do we catch up with a starving and a thug state? you cant be serious.
You can't under no circumstance talk of development when having a decent meal a day is still a luxury to many.
here: Food crisis in Kenya: 5 signs of hunger I’ve never seen | World Vision
Lete za kwenu kama mnazo.
Meanwhile..



sisi hatuna nyie pekee ndiyo mnazoHujawahi kuwa na hoja.siku njema.sisi hatuna nyie pekee ndiyo mnazo
Na hautoiona milele....siwezi tumia enegy yangu kwa kutoa hoja kwa watu walio machizi kutoka kenya hoja huwa naitoa kwa watu timamu...Hujawahi kuwa na hoja.siku njema.

..




Kweli we ni nini sijui.kwani ziwa Victoria halipo tz .Kwa ni meli si ni ya kutoka bukoba to mwanza je si faida Kwa tz nzm kwamba itapata mapato.kwa hiyo unataka meli ijengwe tz au unataka tusijenge meli .kweli wakenya ni wakora poor thinkingkwa ivo hio meli itabeba watu wote kutoka Kagera hadi Mtwara au Kigoma mpaka Tanga??? think young man. wacha kuwa na mawazo duni ya levo za ldc
Hio budget yenyewe hamuna pesa mumeamua kuuza mashirika ya umma😂😂😂😂😂😂😂😂Haha lame excuse the guys that placed u at 51 USD are the ones that put kenya at usd 88b.
1. Kenya collects twice the revenue you do.
K.R.A 1.5 trillion
T.R.A 700 billion KES equivalent.
2.our budget is 3 times yours
3.Kenya Exports and imports more than u.
Why wont u use your mind TZ needs 50 years catch up with kenya.
Kumbe Leo nimejua akili yako ikoje your so poor .yaani brain yako iko hovyo.kwani meli ya Zanzibar inamuhusu nini mtu wa mbeya ndo akili yakokwa ivo hio meli itabeba watu wote kutoka Kagera hadi Mtwara au Kigoma mpaka Tanga??? think young man. wacha kuwa na mawazo duni ya levo za ldc
Meli zinajengwa kwa ajili ya bukoba na uganda also sasa hawa kinachowauma hawana pesa na hawana meli na soon biashara ya uganda kwao itakufa so siku zote ni watu wasioitakia mema tanzania bahat mbaya kwao safari hii wamekutana na fundi magu amewanyoosha miaka mitatu hawana hamu nae😂😂😂😂😂Kweli we ni nini sijui.kwani ziwa Victoria halipo tz .Kwa ni meli si ni ya kutoka bukoba to mwanza je si faida Kwa tz nzm kwamba itapata mapato.kwa hiyo unataka meli ijengwe tz au unataka tusijenge meli .kweli wakenya ni wakora poor thinking