Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Look at this Fool! We unajua Kisumu?? Ama unaiskia tu, Kisumu actually has the highest number of 4* hotels and Malls Outside Nairobi & Mombasa. Wacha kujifanya unajua Kenya bro.
Kisumu nzima in fact the whole of Nyanza lacks a 4 star hotel! Leave aside 5 Star hotel!
acacia_2.jpeg
Sovereign-Hotel-Kisumu-1024x768.jpeg
imperial-express-24134-22c10ddc440cdc4f1f5185c74d0a71a8dfdb7556.jpeg
1564011.jpeg
106327829.jpeg
 
Look at this Fool! We unajua Kisumu?? Ama unaiskia tu, Kisumu actually has the highest number of 4* hotels and Malls Outside Nairobi & Mombasa. Wacha kujifanya unajua Kenya bro.View attachment 966464View attachment 966465View attachment 966466View attachment 966467View attachment 966468
kweli wakenya mnashida yaani ushaamia kwenye 4star...

Duh kweli hizo ni 4 star sasa ndiyo nakuelewa sema unazidi kunivunja mbavu leta na 6star tuzidi kuona yanayostaajabisha
 
Hawa watu wana roho mbaya sana, hawapendi wenzao waendelee that's why kila kitu tunachofanya wanasema ni competition au kuwaiga. Kama wanadhani tutarudi nyuma kwa maneno haya ya kipumbavu watasubiri sana
Hawapendi maendeleo ya wenzao kabisa roho zao mbaya sana ikiwa wao kwa wao hawapendani je wanje?? 10 yrs of developments in tanzania imefanya mambo zaidi ya miaka 40 ya kwa, yani miaka 40 walikua na opportunity ya kuendelea ila leo ukiwatazama hawana mbele wala nyuma😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom