Vazi la Rais Uhuru Kenyatta

Vazi la Rais Uhuru Kenyatta

Tunaomba hisani, video haichezi kwa baadhi yetu, kama tunaweza kupata photograph au snapshot
 
Wewe ni fala kweli,matendo ya Magufuli na Kenyatta ni sawa? Magufuli alipovaa alifanana na Idd Amin kwa Sababu magufuli ni Dikteta,Kenyatta ni tofauti kwa Sababu yeye ni muungwana
Aisee kesi zote anazokumbwa nazo huyo kinyata za kujimilikisha ardhi kubwa sana karibu nusu theluthi ya Kenya nzima hadi alishafikishwa mara nyingi tu katika mahakama kuu ya dunia "The Hegue" lakini bado tu ndiye malaika kwako wala c dikteta?

Ngoja nishushie kinywaji kwanza ili nirudi upya kukucheka jinsi usivyojielewa kwa huyo unayemsifia.
 
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!

Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.

Nafikiri kuna sheria inayomruhusu Rais kuvaa nguo za jeshi kama amiri jeshi mkuu hatika matukio maalumu. Kwahiyo sioni shida.
 
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!

Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.

Mmmmmh.....tafaadhali bibi/bwana mleta Uzi, siyo “kavaa kijeshi” sema “kavaa kiaskari” unakuwa kama hujasoma bwana,

We unaona combat za marangirangi hapo.
 
Lakini kwani Magu keshawahi kuvaa hayo magwanda nje ya context???

Ni mara ngapi tokea awe rais keshaonekana kuyavaa?

..Good question.

..wanaokosoa wanadai hata watangulizi wake hawakuwahi kuvaa kijeshi ktk shughuli ambayo Jiwe alionekana amevaa kijeshi.

..wanaomuunga mkono waliwahi kuonyesha picha za Mwalimu Nyerere amevaa kijeshi, lakini walipingwa kwa hoja kwamba Mwalimu alikuwa amevaa mavazi ya mgambo au JKT na ilikuwa wakati wa vita vya Kagera.

..wakosoaji pia wanadai Jiwe hakuyatendea heshima au haki mavazi ya kijeshi. Askari wetu hawaruhusiwi kufuga ndevu kijembe. Sasa Jiwe alivaa kijeshi huku amefuga kijembe kitu ambacho askari akifanya huwa anachukuliwa hatua za kinidhamu.
 
Amiri jeshi mkuu wetu ni nani?
 
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!

Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.

Magufuli-in-army-uniform.png

Pengine hujawahi kumwona Commander in Chief katika combat gear.
Tena limemkaa vizuri sana.
 
Ndiyo, lakini tuliambiwa kwamba kavaa hivyo sababu yeye ni dikteta....

Tatizo la Magu ni kuvaa hilo jeshi na kuanza kujitapa kwamba yeye ndio Jemedari Mkuu wa Majeshi. hayo ni maneno ya kidicteta kutisha watu.
 
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!

Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.

UHURU mtu wa watu bana Nyani Ngabu, ila nimependa sana vazi limempendeza na amelitendea haki kwenye saluti nimefurahi sana! he is a real gentleman! kenya pamoja na shida zote wanajitahd sana kwenye demokrasia kwa sasa
 
Uhuru ameishi ikulu toka anazaliwa, huyu mwingine ni limbukeni la kijijini huko! Poor mrundi
Wewe ni mwanajeshi? Una uhakika rais wetu hana vazi lake maalumu jeshini kama jemedari mkuu wa majeshi?
 
..ni swali ambalo nilijiuliza walipokuwa wanaagwa askari mashujaa waliofariki Mkiru, na DRC?

Fair question.

Ila nijibu basi katika context ya swali langu kulingana na bandiko lako?
 
Kubishana na machadema ni kupoteza muda!

Haya majamaa mm nayaita mapumabvu
 
Hoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta.

Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia.

Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta?
Kibongobongo kuvaa kijeshi ni ushamba tu na ulimbukeni. Kujifanya unajua sana jeshi wakati jitu shamba tu.

Kikwete na Kinana walifika mpaka nafasi ya KANALI jeshini lakini hawakuwa na ulimbukeni wa kihutu kama wa Jiwe ambaye alienda jeshini kwenye compulsory programme ya mwaka mmoja enzi za mwalimu.
 
Back
Top Bottom