Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The only progress made in more than a decade ni kujenga 3 blue buildings at the shore plus this blue orphan katikati ya slum.
tapatalk_1543469660023.jpeg
tapatalk_1541657377812.jpeg
 
Wacha utani,,,,,kwa hiyo wanaija huita cbd[emoji1][emoji1][emoji1]
Ukipitia hizo forums zao utacheka vitu wanaita cbd......eti hii inaitwa Lekki cbd[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
4345706_131200069480726286433162445949218858251293o_jpegb943e52ea0dba2c8a59c03f8ed8ea185.jpeg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpunga aisee...ccm balaa...diamond mwnywe hivi karibuni anaeza hama kw ujinga wa ccm[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]

Diamond unataman awe mkenya😂😂😂
 
Naona amepandwa na hasira na zile flood za year...mvua ilikuwa kubwa sna..lkn dar karibiwa kila mwaka unabisha ichoboy

Dar mafuriko makubwa ni mitatu au minne iliopita ndio yalikua makubwa, nairobi kila mwaka
 
Hasira zimekupanda posta inapambana ma west upperhil na cbD[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Posta maybe ipambane na Kilimani tu. Upperhill, Westy na CBD are on another level.
 
Hasira zimekupanda posta inapambana ma west upperhil na cbD[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Kwani posta siku hizi imekuwa extended from the shore hadi penye the pictures were taken?
 
Back
Top Bottom