Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Diamond unataman awe mkenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Umetajiwa km atahamia kenya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rudi mhumbili bro...unawaza kenya tu hata ukiwa chooni...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
I love the picture.
7128734-6470841-Getting_down_to_business_The_two_behemoths-a-27_1544176247272.jpeg
 
Amber rutty ni mwanamke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maskini...hapo umeelewaje kwn...hta akili zako pia hazina akili[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] kapte muhumbili hyo kwanza
 
Dar mafuriko makubwa ni mitatu au minne iliopita ndio yalikua makubwa, nairobi kila mwaka
Tutajie hyo miaka hapa na ushahidi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakenya mmepitia hii homework?!!!😂 😂 😂 ooh mafuriko bonde la jangwani ni muda tu mkitaka kupata uhondo zaidi ingieni website ya World Bank-Tanzania.mtaoona pia mradi wa BRT 3 na 4.Mambo yakipikwa pikwa.
'ita. . ita... ita...' as usual
 
More than 25km hio picha imepigwa sasa nairobi ipigwe more than 25km hakionekani kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thibitisha km hzo ni 25 km kutoka angani...rudi mhumbili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mm nimezungumzia KTN umesema huikubali sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] asante kw kukwepa swali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Umetajiwa km atahamia kenya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rudi mhumbili bro...unawaza kenya tu hata ukiwa chooni...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Yani aindoke kwao alipozaliwq aliposimika mali zake aje kwenye failed state serious au munapenda vzr vya watu😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom