Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww labda kiswahili chako kibovu alisema ziko nchi east africa deni lake ni 2b usd hakusema tanzania usitafute kick ya kutokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Una deny sasa km alisema...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani wanjala amekudunga hii[emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
Kasahau slums zingine nilikua namkumbusha😂😂😂😂😂
 
Ww labda kiswahili chako kibovu alisema ziko nchi east africa deni lake ni 2b usd hakusema tanzania usitafute kick ya kutokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Unemployment rate ya 2% pia iko siku utasema alisema ziko nchi wala hakumaanisha bongo..itakuwa wanahabari wamemnukuu vibaya
 
Unemployment rate ya 2% pia iko siku utasema alisema ziko nchi wala hakumaanisha bongo..itakuwa wanahabari wamemnukuu vibaya
Nasema ndio kutokna na ushahidi nilionao ukitaka ushahidi sema nakupa sasa hvi😂😂😂😂😂
 
Itafute katikati ya slum hapo utaipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 964678
Nitafutieni nyumba yako hapo
tapatalk_1544527078397.jpeg
 
Mziki wa tanzania unawatesa [emoji23][emoji23][emoji23] kila mnachokiskia kuhusu tanzania uharo unawatoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unampinga jiwe wewe...utajikuta jela...mi nakupa tahadhari
 
hizo sio slums a much clear photo is right here

Nasikia hapo wanataka kujenga something called Msimbazi park

Yes


GREAT NEWS!
MSIMBAZI RIVER UPGRADE
NEW MSIMBAZI BRIDGE

utu8na9.jpg





MODERN CITY PARK AT MSIMBAZI


IcdtzEx.jpg



[youtube]6WxXG87KkmA[/youtube]

this is impressive, NHC should be among the largest developers. But the project will cost not less than $1 Billion for it to look like that, however $20 Million as seed is a good start.

My worry is, will the government commit funds to implement?
 
Hakuna upanga hapo hakuna kariakoo hakuna ilala hakuna kijitonyama hakuna masaki hakuna oyesterbay hakuna mikocheni hakuna magomeni nyumba yangu iko ilala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Lkn bado ni pakubwa kuliko mukuru kayaba..au waonaje
 
Back
Top Bottom