Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee😀 huyu ichoboy ananimaliza kwa kicheko. Yaani haelewi maana ya black woman.
Ichoboy,I said,she was the first black female to attain a PhD in nuclear physics from UConn
Hujanijibu swali nimekuuliza ndio phd ya kwanza duniani?????😂😂😂😂
 
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] asante kw kukwepa swali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kumbe KTN huikubali 😂😂😂 chakwenu hukikubali 😁😁😁😁
 
Mombasa island....woow!!
Mombasa is more developed tha your so called zanzibar a country...hebu tuma capital ya zanzibar hapa tuione
Sasa nioneshe ni jengo gani mombasa nzima hakuna kwenye hii picha ukipata nitag😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇
190B99C1-4D78-44E9-A07F-A0B76C318058.jpeg
 
So mzungu ni mjinga sana sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] kwamba kangemi, mathare, makuru kayaba etc sio slums
View attachment 964662View attachment 964663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani wanjala amekudunga hii[emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Aisee😀 huyu ichoboy ananimaliza kwa kicheko. Yaani haelewi maana ya black woman.
Ichoboy,I said,she was the first black female to attain a PhD in nuclear physics from UConn
Ndio nakushangaa sana sisi tunae mtu ni scientist wa hio fani kazeekana hio fani bila mafanikio usisahau this is africa 😂😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇
05D5F162-E7ED-4D1A-9BEA-1A62105DB1E4.jpeg
 
Wacha kuhamisha magoli..ulifikiria tumesahau mkiimba mko na deni la $2bln[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ww labda kiswahili chako kibovu alisema ziko nchi east africa deni lake ni 2b usd hakusema tanzania usitafute kick ya kutokea😂😂😂
 
Back
Top Bottom