Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pwahahahaa......... Panga Boy.... Hata Coast bus inamake more profit than it.
More profit hiyo

ea17c9ff49b29607b290b1e57ffb9308.jpg

http://www.nation.co.ke/news/Kenya-Airways-announces-Sh26-2bn-loss/1056-3303986-88njlvz/index.html
 
Na hio loss inawatesa 4 yrs mpaka Leo hii navozungumza hapa loss inawaua kimya kimya
Kwahiyo hii so called pride of Africa imeendelea kupata loss yearly tangu 2015? Hawa jamaa sijui baishara zao wanaziendesha vipi? Ma boasting mengi hawana lolote. Nairobi yote ilijengwa na muingereza alafu wanajigamba, wakati sisi Tanzania hatukujengewa na waingereza. Mpaka hii leo tunaijenga wenyewe wala hatujidai. Everything of ours is modern compared to the shit hole of Nairobi!
 
Kwahiyo hii so called pride of Africa imeendelea kupata loss yearly tangu 2015? Hawa jamaa sijui baishara zao wanaziendesha vipi? Ma boasting mengi hawana lolote. Nairobi yote ilijengwa na muingereza alafu wanajigamba, wakati sisi Tanzania hatujengewa na waingereza. Mpaka you leo tunaijenga wenyewe wala hstujidai. Everything of ours is modern compared to the shit hole of Nairobi!
Na inamadeni zaidi 150 billion ksh out of that loss hahahahahahah alafu anakuja mtu hapa anatunisha misuli
 
Kwahiyo hii so called pride of Africa imeendelea kupata loss yearly tangu 2015? Hawa jamaa sijui baishara zao wanaziendesha vipi? Ma boasting mengi hawana lolote. Nairobi yote ilijengwa na muingereza alafu wanajigamba, wakati sisi Tanzania hatukujengewa na waingereza. Mpaka hii leo tunaijenga wenyewe wala hatujidai. Everything of ours is modern compared to the shit hole of Nairobi!
say what now? the roads, all bulidings in the city zilijengwa na nani? do some research
 
Kwahiyo hii so called pride of Africa imeendelea kupata loss yearly tangu 2015? Hawa jamaa sijui baishara zao wanaziendesha vipi? Ma boasting mengi hawana lolote. Nairobi yote ilijengwa na muingereza alafu wanajigamba, wakati sisi Tanzania hatukujengewa na waingereza. Mpaka hii leo tunaijenga wenyewe wala hatujidai. Everything of ours is modern compared to the shit hole of Nairobi!
Mko na nini modern kushinda Nairobi?
Roads? Suburbs? Buildings? Malls??
 
1169e81afba4b2e0f186701f428b94ae.jpg

Is that what you calling subway and trams plans in Kenya?
Half of those pictures aint even Kenyan. You can check by the side they are driving on. Hata hio picha ina a lot of yellow vehicals ni Nigerian mate, they paint their stuff Yellow. check out Lagos public system
 
Are you talking about roads of potholes or plans to build roads?
You should really check out our roads, potholes are very rare siku hizi in Kenya. Unless you are in denial and jyou just want to believe Kenya does not have roads
 
Back
Top Bottom