Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni ndogo kwa land size but economy hamuioni
Wacha ungedere wako, economy gani wezi nyiye! Kulisha slums dwellers mnashindwa alafu eti economy! Economy unaijua wewe? Economy yenu inategemea slums hizo hapo...

List of slums in Kenya

Baba Ndogo
Dandora
Fuata Nyayo
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera (Kibera has been described as the largest slum in Kenya)
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe
 
Ni ndogo kwa land size but economy hamuioni
Kwa Economy gani Sasa!!! Angalia sasa hivi Tumenza kuwakalia kiuchumi mmeanza Kuleta Migomo Mara hamtaki Gas Mara H amtaki madaktari wetu shame hamna na bado Tunakuja kwa kasi ya Kimbunga Tanzania sio Shamba La Bibi Tena

.."father G" the Golden Boy...
 
set up for the Safaricom jazz intl festival
C-gBLQhXsAEg2-h.jpg
 
Kwa Economy gani Sasa!!! Angalia sasa hivi Tumenza kuwakalia kiuchumi mmeanza Kuleta Migomo Mara hamtaki Gas Mara H amtaki madaktari wetu shame hamna na bado Tunakuja kwa kasi ya Kimbunga Tanzania sio Shamba La Bibi Tena

.."father G" the Golden Boy...
mnafurahisha sasa......hivi uwa mnaropoka mmeipiku kenya mkitumia vigezo gani kama gdp hamtuoni wakati mko wengi kutuliko.plz ngojeni mkikuwa declared the economic giants of east africa ndio mjisifu...sio mara,,,tunakuwa kwa kasi ya kimbunga,,,oooh tumeamka,,,ooh tunajenga nchi,,mara tumewakalia kooni,,,,blah blah blah..tunajenga barabara....at the end of the day bado tuko mbele and the gap is increasing.hamchoki
 
Tanzania imejaribu sana kufunga pengo ya maendeleo baina take na Kenya. Shida ni Kama kufukuza mtu anayekimbia kasi Sawa na wewe ila tu kaanza mapema nawe saa nane mchana. Ni Kama kushindana na London. Majengo ya zamani lakini zatimiza sababu. Ni kweli newer is always better. Tazama miji midogo ya Kenya ndo Sasa zajengwa kweli. Swala LA slums... Wale wanaishi slums Nairobi wengi wana vyumba vya starehe vijijini. Wao wanahakikisha starehe baadaye. Tofauti ya Wakenya ni Kama Kwanza starehe baadaye. TZ ni starehe sasa Taabu baadaye
 
umeongea vizuri..tz is growing and so is kenya which is good for this region.ukweli ni kuwa hakuna aliye lala.
 
Tanzania imejaribu sana kufunga pengo ya maendeleo baina take na Kenya. Shida ni Kama kufukuza mtu anayekimbia kasi Sawa na wewe ila tu kaanza mapema nawe saa nane mchana. Ni Kama kushindana na London. Majengo ya zamani lakini zatimiza sababu. Ni kweli newer is always better. Tazama miji midogo ya Kenya ndo Sasa zajengwa kweli. Swala LA slums... Wale wanaishi slums Nairobi wengi wana vyumba vya starehe vijijini. Wao wanahakikisha starehe baadaye. Tofauti ya Wakenya ni Kama Kwanza starehe baadaye. TZ ni starehe sasa Taabu baadaye
Jipe moyo hvo hvo naona unachekesha walionuna😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom