Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuuliza swali huna imani na KTN nijibu plz 😂😂😂😂😂

Na hawa pia huwaamini😂😂👇👇👇👇

Niletee official link kua kenya below poverty line 26%😀😀😀😀😀
nishakupea kama haumini Google kenya poverty rate 2018 world bank tweet ni ww hao ni watu na maoni yao Kenya poverty rate ilikuwa 46% 2012 tuko 2018 iko 26% halafu ww pia uniletee link ya worldbank ambayo inasema kenya poverty rate ni 46% 2018 link c tweet link umelewa link
 
Just imagine mtu anakuletea wimbo uliotoka kinywani mwake unampa cash sembuse huyo alienihifadhia pesa nkamlipa? au alienipa pesa nkafanyia biashara nkamrudishia na riba?
kojoa ulale wewe.... unalia lia sana hadi inatia huruma
 
nishakupea kama haumini Google kenya poverty rate 2018 world bank tweet ni ww hao ni watu na maoni yao Kenya poverty rate ilikuwa 46% 2012 tuko 2018 iko 26% halafu ww pia uniletee link ya worldbank ambayo inasema kenya poverty rate ni 46% 2018 link c tweet link umelewa link
Niletee official link below poverty line ni 26% nasubiria😂😂😂😂😂😂

Leo KTN huiamini nimecheka sana😁😁 kisa imesema kweli unajifanya huiamini👏👏👏👏👏👏
 
So kwa akili yako inaeza kupost habari kama hii twitter alaf waache tu, twitter ukipost habari za uongo wana ban hio habari😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇musitafute mchawi au njia ya kutokea pamabaneni na hali zenu

kenya poverty rate ni 26% in 2018 leta link c tweet ni social media na social media si source of information tanzania poverty rate ni 23% ilikuwa measured na worldbank c tweet so kama hauna link ya wordbank kimya tuliza mdomo
 
Narudia tena niletee official link inayosema kenya below poverty line ni 26% nasubiriaa kwa hamu sana😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Niletee official link below poverty line ni 26% nasubiria😂😂😂😂😂😂

Leo KTN huiamini nimecheka sana😁😁 kisa imesema kweli unajifanya huiamini👏👏👏👏👏👏
Nami nimekushow leta link inasema kenya poverty rate ni 46% uwache ujinga huwa unajiona umejua kenya sana kenya poverty rate ni 26% ukubali ukatae
 
Ahahaha nimekuuliza swali dogo tu investment mulifanya bure ????
haha Buda How Stupid are You ,,Haukuenda shule ama those guys own 0.9% they needed where thry can invest their cash and NSE was the best not DSE..Here is equity ownership
Capture.PNG
 
Millions of Kenyans give without the glare of cameras, social media and forth estate

Kenyans ranked among world's most generous - report - Business Daily
HOME › ...
These scumbags know nothing. Always criticizing Kenyans but the fact remains.
Kenyans are ever benevolent.
FB_IMG_15443851597246339.jpg
FB_IMG_15443851412445811.jpg
FB_IMG_15443857117379225.jpg

The most generous country in Africa
 
Mtakesha hapa lakini hamtawahi kutufikia kimaendeleo.......jamii forum won't cow the MIGHTY NAIROBI and kenya at large
hata mashangaa, you had everything.. leo hii nairobi ilitakiwa icheze league moja na capetown, johannesburg na cairo. but kutokana na ujinga wenu, mnatolewa jasho na dar es salaam.... na tutawatoa kamasi mpaka 2025
 
Back
Top Bottom