Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kumbe CBD imo ndani 😂😂😂😂 so haina tofaut na hiii👇👇👇👇👇
 
Ndio hio wameiona sasa.....lakini Nairobi ni kubwa budaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

696km sq ni kubwa kwa 1600km sq hahahahahahha 😂😂😂😂😂😂😂 wakenya munachekesha sana
 
696km sq ni kubwa kwa 1600km sq hahahahahahha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakenya munachekesha sana
Wazazi wako walitupa pesa yao bure kukupeleka shule
 
Hawaoni kama zipo kwenye mstari hizo
 
Eti hii city ndio watu hutaka kulinganisha na Dar slum....na huo wakati old cbd ni kitu nusu hivi kwa hiyo picha, Kimani,Ngara, parklands na down town hazipo[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]View attachment 961895
Bila kusahau hapo no wasty na upperhill ndio zinaonekana weka cbd,kilimani,ngara parklands etc
 
Upperhill na nusu ya Westlands
 
But nachoona na uppehill imo ndani na CBD imo ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] one pic is enough
CBD haiko leta kicc ns times towers,teleposta etc alafu unitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bila kusahau hapo no wasty na upperhill ndio zinaonekana weka cbd,kilimani,ngara parklands etc
Ndio maana tunawabia washindane na westy pekee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada kilimani bado ,old cbd bado, parklands,ngara,haziko..upperhill ndio imeigia karibu yote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…