Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,206
- 2,626
Aisee acha uboya kwan foleni za magari ndio maendeleo? Dar ilikuwa na foleni kali sana miaka iliyopita lkn kila siku inatafutwa namna ya kupunguza tatizo... siku hizi watu wanaacha magar kimara na mbezi wanachukua BRT na mambo yanakuwa smooth... pambaneni na hizo foleni zenu, solution sio kupanua barabara maana wote mtakutana pale junction foleni kubwa itaanza.... tafuteni barabara zaidi watu wasitegemee moja sasa hapo laja swala la ardhi.... majib mnayoLol. Dar haiwezi kuwa na foleni kwa ajili watu wachache sana wanamiliki magari. Hata nchi zilizoendelea kuna foleni pia.
Look..... Australia and RussiaView attachment 955401View attachment 955402



