Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata ungekua wewe lazma roho ingekuuma,Kiba kabeba mkenya,Mond anakula mkenya,Benpizo nae kabeba mkenya,ila Dimpoz tu ndo anatuangusha sisi wanaume wa bongo yeye kaenda kwa gavanna,sijui wanamfanyaje huko mombasa!!
mambo ya Mombasa yawache Mombasani. au ulitaka uende wewe kwa 001?
 
Tunduru songea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
1F504727-20E2-44CE-9668-5EF08497A440.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana MU-AMBER RUTH si wapo MOMBASA
acha fikra mbaya na potofu. kumsaidia mtu wakati yupo hali mahututi haimaanishi kua unalala naye so watch out kijana. chunga sana kauli zako. hujafa, hujaumbika
 
Back
Top Bottom