game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,729
Alaf wanachokwenda kusoma ni kujenga majengo alaf yanadondoshwa na upepo alaf anasimama engineer anakwambia upepo umedondosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Elimu ya Kenya hufundisha kitu kimoja tu,
English Language, ndio maana majamaa kutwa humu yanazungumza kingereza, vichwani hamna contents.