Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kweli kenya no strong security.....

Hivi hiyo security haikufunzwa ukakamavu nakufikia hatua hadi yakupindapinda kwenye line za ukakamavu .....na wengine viatu vikiwa vimezidi line yaani hizo line zipo kimakosa kabisa ningekuwa raisi wakenya ningeshoot risasi kwa kila lain ili waliionyooka wasalimike ila kwa hapo nahisi wangekufa woote

ZIGZAG ARMY LINE IN KENYA
tapatalk_1543504433608_1.jpeg
 
Mbona ninyi hamkuja kusini mwa Africa wakati tukipigana na Makaburu?. Acha tujenge uchumi wetu, sasa hivi ni zamu yenu na ninyi kupigana. Ninyi mlienda Somalia kulinda mipaka yenu, sisi tuje kufanya nini?
Jeshi lenu si liko imara...kujeni mumalize al_shabab kw masaa manne alafu mkafyeke boko haram..itakuwa ni busara sana kuona jeshi bora afrika kw vigezo vya historia..
 
kweli kenya no strong security.....

Hivi hiyo security haikufunzwa ukakamavu nakufikia hatua hadi yakupindapinda kwenye line za ukakamavu .....na wengine viatu vikiwa vimezidi line yaani hizo line zipo kimakosa kabisa ningekuwa raisi wakenya ningeshoot risasi kwa kila lain ili waliionyooka wasalimike ila kwa hapo nahisi wangekufa woote

ZIGZAG ARMY LINE IN KENYA
View attachment 950603
Hebu leta wenu wakiwa kwenye mstari
 
Hahahahahahaha. Tulishamaliza kazi, jeshi letu ni kwa ajili ya ukombozi, sio kupigana hovyo bila sababu za misingi, mlipaswa kuliweka jeshi lenu mpakani na Somalia ili kudhibiti Alshabab wasivuke kuingia Kenya, sio kuingia Somalia without a winning plan, ona mnavyouliwa na Alshabab.
Jeshi lenu si liko imara...kujeni mumalize al_shabab kw masaa manne alafu mkafyeke boko haram..itakuwa ni busara sana kuona jeshi bora afrika kw vigezo vya historia..
 
Back
Top Bottom