Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuru county Kenya
IMG_20181129_152111.jpg
IMG_20181129_151857.jpg
IMG_20181129_151802.jpg
 
Jeshi lenu si liko imara...kujeni mumalize al_shabab kw masaa manne alafu mkafyeke boko haram..itakuwa ni busara sana kuona jeshi bora afrika kw vigezo vya historia..
Mambo hayo hayaendi kimhemko na kukurupuka nyie pambaneni na hali zenu,hao wanaotwa al shabaaaab mujahedeen allah akbaaaar...
Once ukianzisha ugomvi nao haushi leo..
 
😅😅 skis mwingine... Sawa. Ingia ndani ya hostels ndo uone ubora wake. KU pia si university mpya.. Ati modernity.. What modernity are you talking about
Tuoneshe ndani ya hostel tuone uchafu😂😂😂😂😂👏👏👏👏
 
HOW MANY KENYA'S HOTELS AND COMPANIES ARE OWNED BY FOREIGN INVESTORS??? HAPO MNASHANGAA NINI??
Huyo mjinga sana yeye alijua kua mlimani si mali ya chuo sasa leo katahamaki kuskia ni mali ya chuo😂😂😂😂
 
Wapo desperate sana, wanadanganya left and right ili kuonekana wapo juu, huo ndio ugonjwa wao mkubwa, wanaishi maisha ya kusadikika sana.
Wakenya Wengi Sijui hawapajui kwao pakoje, Au Ndio hawajafika hat Nairobi. Huwezi sema kitu hiki kipo kwenu na unaishi humo hawajui vitu vyao vikoje. Hii ni UMGENI road Interchange Durban South Africa .

View attachment 951249


View attachment 951250
 
Back
Top Bottom