ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wapi kenya au inapumulia mipira ya mikojo๐๐๐๐๐๐ ujanja wote kwenye tourism wamekusanya 700m usd๐๐๐ bila kusahau zile hote za masai mara per day 20usd
Wapi kenya au inapumulia mipira ya mikojo๐๐๐๐๐๐ ujanja wote kwenye tourism wamekusanya 700m usd๐๐๐ bila kusahau zile hote za masai mara per day 20usd
Yaani ni noma mkuu.....hiyo ngoma ya station itachapa kenya nzima
Mbona hua mnakuja wenyewe kwani mliitwa humu??Yeah. kenyans should continue resisting. Wengine humu hawana nidhamu .Mada ibadilishwe iwe Darislum insults
Alaf wanachokwenda kusoma ni kujenga majengo alaf yanadondoshwa na upepo alaf anasimama engineer anakwambia upepo umedondosha๐๐๐๐View attachment 952139View attachment 952140
it takes longer to finish both primary and secondary school in Kenya than any where else in Africa.
Seriously??? Vile mnasema Kilimanjaro iko Kenya ndo kulead?tanzanians like bluffing and yapping for no good reason the whole world knows kenya is ahead of tanzania in everything except nothing that is a fact it is not even a fact it is the truth and the truths hurts that is why tanzanians are bitter
Ni mwendo wa full glassYaani ni noma mkuu.....hiyo ngoma ya station itachapa kenya nzima
Hakika hawa maengeneer wakikenya wana stupid pointlessAlaf wanachokwenda kusoma ni kujenga majengo alaf yanadondoshwa na upepo alaf anasimama engineer anakwambia upepo umedondosha![]()
Hii Kama kambi ya wakimbizi ya kule KigomaNAIROBI BOMBAAView attachment 918006
Yes, this is Dar es salaam 5 years ago. Wacha ya Sasa
Make Tanzania Great Again
Hizi Kama Hostel ya Shule ya Secondary BukobaSection of South cView attachment 918017
Inavyoonekana, hizi majengo zilijengwa kwenye squatter,



Kenya pimeni Ardhi for proper land managementhehee.... kweli leo nimeamini โyajayo yanafurahisha'Watu wameviona kwenye reli TV bado wamepinga station hizo we unabwabwaja tuView attachment 952171View attachment 952172
umeona eeh.......mkuu wabongo kwa ubishi hatujambo!