Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daah kuna mpuuzi mmoja wakikenya hapa ,,,anajinadi mubashara kama yupo kwenye kampeni atii wana quality life of living...nimesikitika kisha nikamcheka sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

 
Asante kwa kuja,,,,,,hizo picha zote si kenya hapo ni Tanzania zOne usihofu kwa hilo[emoji2][emoji2][emoji2]
Usichukue picha za nchi nyingine na kuwasingizia midle income yenye high hdi na gdp kubwa.
 
Basi sawa,,endelea kujua hivyo ujuavyo kuhusu Lusematic kutoifahamu G.D.P ya nchi yake na mengine mengi[emoji16][emoji103][emoji122]

Nadhani tumeelewana mwelevu bora kabisa educated woman janerose from kenya [emoji1]
Umesema ukweli. Si kila MTU mjinga ndio maana sisi ambao si wajinga tunawashangaa wajinga wanaojiita werevu .
 
Wengine walisema eti china ni marafiki zao hahaha kumbe hawajui mahusiano kati ya china na tanzania na leo wamesahau kua ni jinsi gani china inavoiheshimu tanzania👇👇👇👇👇👇👇👇

 
Kiboko ya africa, simba wa africa👇👇👇👇👇👇👇👇🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏👏

63334954-5F05-4DD6-9F86-133A138647BF.jpeg
 
Back
Top Bottom