Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kutupima akili hapa kwani tz hakuna crime slums hunger na corruption na mbona basi kwa hdi mko nyuma ya Kenya
According to Jubilee propagandalist s kama wewe Tanzania ipo nyuma, lakini dunia nzima inajua kwamba
1)Tanzania has enough food for its people
2)Tanzania has low unemployment rate
3)Tanzania has better public Hospitals
4)Tanzania has better security
5)Tanzania has narrow gap between rich and poor
6)Tanzanians has enough safe water
7)Tanzanians do have better houses

Hayo ndio mambo muhimu kwa maisha ya binadamu, na vyote hivyo tumewapita tena kwa mbali sana
 
Anhaa kwa hiyo Wi-Fi ya bure ndo inakufanya usiwe unatumia akili yako,wewe ni Google tu,huna muda wa kufikiri ni mwendo wa Google tu..
hakuna kitu unaniambia niambie point yako nikutumia google shida iko wapi ntaenda hell kwasababu natumia google kwani Google ni ya kazi gani kenya has a higher quality of life kuliko tz najua hamupendi ukweli
 
According to Jubilee propagandalist s kama wewe Tanzania ipo nyuma, lakini dunia nzima inajua kwamba
1)Tanzania has enough food for its people
2)Tanzania has low unemployment rate
3)Tanzania has better public Hospitals
4)Tanzania has better security
5)Tanzania has narrow gap between rich and poor
6)Tanzanians has enough safe water
7)Tanzanians do have better houses

Hayo ndio mambo muhimu kwa maisha ya binadamu, na vyote hivyo tumewapita tena kwa mbali sana
Source ni ccm hardliner....lol
 
Safi sana, hii ripoti inasema Kenya population below poverty line ni 35.6%(2016), na Tanzania ni 26.7%(2016). Nenda kojoa ukalale.
Poverty is measured by class....an LDC rate isn't same as a non LDC.........now where are your middle class and we beat you in HDI.....
 
According to Jubilee propagandalist s kama wewe Tanzania ipo nyuma, lakini dunia nzima inajua kwamba
1)Tanzania has enough food for its people
2)Tanzania has low unemployment rate
3)Tanzania has better public Hospitals
4)Tanzania has better security
5)Tanzania has narrow gap between rich and poor
6)Tanzanians has enough safe water
7)Tanzanians do have better houses

Hayo ndio mambo muhimu kwa maisha ya binadamu, na vyote hivyo tumewapita tena kwa mbali sana
jubilee ni ww
Na according tu the world kenya has better infrastructure than tz Kenya has better education than tz we have better healthcare than tz we have a larger middle income than tz and Kenya has high quality of life than tz
 
Poverty is measured by class....an LDC rate isn't same as a non LDC.........now where are your middle class and we beat you in HDI.....
Hayo sasa nenda bishana na hao WB waliotoa hizo ripoti, ila kwa sasa the statistics on use is, Kenya 35.6%, Tanzania 26.7%
 
Tanzania, officially the United Republic of Tanzania, is a country in Eastern Africa that is home to natural wonders like Mount Kilimanjaro and Lake Victoria. Although the country is rich in natural resources, poverty in Tanzania persists.
10 Important Facts about Poverty in Tanzania
1. In Tanzania, 67.9 percent of the population lives below the poverty line.
2. Extreme poverty in Tanzania has declined in recent years, from 11.7 percent in 2006 to 9.7 percent in 2012.
3. Poverty leads to hunger. Roughly 42 percent of children under five in Tanzania suffer from chronic malnutrition and 16 percent are underweight.
4. Malnutrition affects children’s physical development. The rate of stunting in Tanzania ranks third in sub-Saharan Africa, after Ethiopia and the Democratic Republic of Congo .
5. Many of the most commonly eaten foods in Tanzania, such as potatoes and cassava, are inexpensive but lack essential nutrients . Some schools in Tanzania now hold nutrition classes for students in hopes of reducing malnutrition.
6. On average, women in Tanzania will have five children. Slowing fast population growth and the high fertility rate by empowering women through education support and family planning services is key to reducing poverty in Tanzania.
7. Poverty is highest in rural areas, with around 80 percent of the country’s poor living in those regions.
8. Poverty is also highest among female-headed households, particularly those that depend on livestock or food-crop production for their livelihood.
9. Young girls and women in Tanzania often suffer from more nutritional deficiencies than men. One-third of women are deficient in iron, iodine, and vitamin A and two-fifths are anemic.
10. Cash transfer programs, which have been successful in other parts of the world, have proven in recent years to be effective in Tanzania. While families do not receive large sums of money, it is enough to free them from constant subsistence farming and allows them to focus on generating additional, more stable, sources of
 
Tanzania has the highest level of illiteracy in subsaharan Africa,high poverty low life expectancy and all these make it an LDC. The 3criteria that the poor country has failed to meet despite having everything at their disposal. Who bewitched this poor country? It needs deliverance for sure.
 
jubilee ni ww
Na according tu the world kenya has better infrastructure than tz Kenya has better education than tz we have better healthcare than tz we have a larger middle income than tz and Kenya has high quality of life than tz
Hahahahaha. Hamuwezi hata kujitosheleza kwa chakula, hamuwezi kujenga hata kilometer moja ya SGR kwa pesa yenu, kila kitu mnakopa, very poor public transport systems, very poor public Hospitals. Hamuwezi kushindana na Tanzania
 
Tanzania poverty rate mara 87% ,,mara 68%......ccm inapika data sasa nchi kwenye HDI,middle class na non LDC inatafutwa na torch

Afadhali kenya we have our highest recorded rate at 44 na sahii tuko 29.2%.....we moved out of LDC,we have a big middle-class, we have a high HDI thanks to devolution
 
Hahahahaha. Hamuwezi hata kujitosheleza kwa chakula, hamuwezi kujenga hata kilometer moja ya SGR kwa pesa yenu, kila kitu mnakopa, very poor public transport systems, very poor public Hospitals. Hamuwezi kushindana na Tanzania
Source umetoa tu kwa feelings zako......where are your sources...you too shallow and emotional ama shule ilikuwa unasomea dirishani
 
Tunashuka speed sana.....
Screenshot_20181125-002448_Opera%20Mini.jpeg
 
Hahahahaha. Hamuwezi hata kujitosheleza kwa chakula, hamuwezi kujenga hata kilometer moja ya SGR kwa pesa yenu, kila kitu mnakopa, very poor public transport systems, very poor public Hospitals. Hamuwezi kushindana na Tanzania
Acha kujichocha sgr tunajenga na imefika naivasha na tumekopa pesa na tunajenga SAA hyo inakuhusu aje ww c mkenya hautalipa deni ama umesikia Kenya imeshindwa kulipa deni tafuta point nionyeshe place healthcare ya tz imeshinda ya Kenya
 
Back
Top Bottom