Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Munejengewa kwa mkopo amabao hamutaweza kurudisha huo mkopo kwasababu wanauchumi wenu walisema reli mchina kawacharaza kindaki ndaki yani mumeambulia station lakini reli na treni zenyewe zilitumika 100 yrs ago huko china😂😂👇👇👇
View attachment 945364
Wapi umesikia Kenya imeshindwa kulipa deni niliwambia siku ambayo mtasikia China imesema itachukua bandari ya Mombasa na jkia mje hapa mnicheke 300billion in pesa kidogo sana kwa Kenya na tena uhuru bdo amekopa zingine 300billion za kujenga expressway kuanzia mombasa hdi Nairobi deni halitutishi wachana na economists wa kenya wanataka attention
 
Leta vtu latest ichoboy as of October 18 2018 Kenya population under poverty line is 29.2 % hyo 44% ni ya 2012 ichoboy tz haishindi kenya anything halafu ukumbuke kenya has a better life quality kuliko tz
😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇
67524BEA-2ABF-4021-918B-D55BC876123E.jpeg
 
Leta vtu latest ichoboy as of October 18 2018 Kenya population under poverty line is 29.2 % hyo 44% ni ya 2012 ichoboy tz haishindi kenya anything halafu ukumbuke kenya has a better life quality kuliko tz
What defines better quality of life kama sio food, jobs, health, security, houses and education?, hiyo better qualify of life unayozungumzia ni ipi?
 
Wapi umesikia Kenya imeshindwa kulipa deni niliwambia siku ambayo mtasikia China imesema itachukua bandari ya Mombasa na jkia mje hapa mnicheke 300billion in pesa kidogo sana kwa Kenya na tena uhuru bdo amekopa zingine 300billion za kujenga expressway kuanzia mombasa hdi Nairobi deni halitutishi wachana na economists wa kenya wanataka attention
Sasa mbona hamkujenga kwa pesa zenu hehehheeh budget yenyewe hamuna pesa 😂😂😂😂😂👏👏👏👏
 
Hyo c poverty line hyo in population that lives below 1 usd kwa hyo Tanzania iko na 49.1 % population that lives under 1 usd jua tofauti ndugu yangu
Hahahaha wewe ni kichaa, WB imekuambia Tanzania below poverty line ni 26.7%, Kenya 36%, nini tena unataka?
 
Hivi unajua kuwa Wakenya hamielewani na Somalia,Ethiopia, Uganda, Burundi na I am not sure about South Sudan,
Huoni Kama mna Matatizo? You should at least thank Tanzanians for being accommodative,
Itafika wakati na sisi tutawachoka
Sure
 
Hyo c poverty line hyo in population that lives below 1 usd kwa hyo Tanzania iko na 49.1 % population that lives under 1 usd jua tofauti ndugu yangu
Hio ni moja ya sababu itawafanya mushindwe kulipa deni la mchina😂😂👇👇👇👇

Back
Top Bottom