Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bata batani
IMG-20181123-WA0002.jpeg
 
Hivi unajua kuwa Wakenya hamielewani na Somalia,Ethiopia, Uganda, Burundi na I am not sure about South Sudan,
Huoni Kama mna Matatizo? You should at least thank Tanzanians for being accommodative,
Itafika wakati na sisi tutawachoka
Is police killings not crime?, that is extra judicial killings, don't be stupid.
It is a crime tz hakuna extrajudicial killings tz and that doesn't make tz better than kenya Kenya has high quality of life than tz
 
Then leta graph za middle-class.....watanzania ccm itawaua aki. Mnapika data mwishowe hamna good HDI or middle class.............kwani mnaninginia wapi
Umeshasoma hiyo ripoti ya WB na kujua % ya watanzania below poverty line na ulinganishe na Kenya?, sasa kama wananchi wengi wa Kenya ni masikini, iweje wawe na maisha mazuri?
 
Watanzania muache rumours nani alikuambia kenya iko highest crime rate in Africa punguza kelele na utoe point hapo kwa healthcare nionyeshe kama tz imeshinda kenya unicheke slums hata nyinyi mko nayo muache kujifanya wajinga hapa ebu nionyeshe place jubilee ilifanya utafiti ikasema kenya iko na high quality of life kuliko tz angalia UN hdi rankings acha kelele argue na facts

Sasa huu ni uandishi gani? Yaani hata kuweka nukta kutenganisha sentensi umeshindwa?
 
Hapo sasa....ndipo mkenya anapobanwa na banio lenye moto
Umeshasoma hiyo ripoti ya WB na kujua % ya watanzania below poverty line na ulinganishe na Kenya?, sasa kama wananchi wengi wa Kenya ni masikini, iweje wawe na maisha mazuri?
 
Lusematic and joto la jiwe najua washakata tiketi dar lux kuja kuona middle class nation[emoji1787][emoji1787]NAIROBI hamchelewi kuja..hata game over anaweka show hapa jf lakini Nairobi ni second home yake......abeddy ngosso,mbosso,shusho,muhando na hata aslay wamekataa kuondoka Nairobi [emoji1787][emoji1787]
 
It is a crime tz hakuna extrajudicial killings tz and that doesn't make tz better than kenya Kenya has high quality of life than tz
Lete ushahidi kwamba Tanzania kuna crime, ninyi mnaongoza Africa katika, crime, corruption, hunger and Slums.
 
Sasa unajua we jamaa uwe unatumia akili kidogo,ubongo wako uwe unafanya kazi,si kila kitu Google tu..
Hivi unajua Nigeria inahitaji hospitali ngapi ili kuwatosheleza wananchi wake nchi nzima?? Na Botswana inaitaji hospitali ngapi ili kuwatosheleza wananchi wake Botswana nzima?
Ni kiasi gani cha fedha hutumika Nigeria kununua madawa kwa wananchi wake? Na Botswana je?
Ni kiasi gani cha kms za barabara zinazohitajika kuunganisha Nigeria nzima? Na botswana je?
Ni ujinga kulinganisha nchi yenye population ya 2 mil kwa 50+ mil...ukiona nchi ina population ndogo then ina HDI ambayo hairidhishi basi ujue kuna tatizo kubwa sana kwenye nchi hiyo,unashindwaje kuwa na HDI inayoridhisha ilhali population yako haifiki hata 10 mil..
Rudi nyuma usome hyo discussion vizuri uwache kuaibisha watanzania wenzako
 
Umeshasoma hiyo ripoti ya WB na kujua % ya watanzania below poverty line na ulinganishe na Kenya?, sasa kama wananchi wengi wa Kenya ni masikini, iweje wawe na maisha mazuri?
I am interested in the world bank report of below 2 dollars per day.....hapo mtabanwa makende sawasawa
 
Hata uganda n congo ni second home...

Sema tungi mbaya
Lusematic and joto la jiwe najua washakata tiketi dar lux kuja kuona middle class nation[emoji1787][emoji1787]NAIROBI hamchelewi kuja..hata game over anaweka show hapa jf lakini Nairobi ni second home yake......abeddy ngosso,mbosso,shusho,muhando na hata aslay wamekataa kuondoka Nairobi [emoji1787][emoji1787]
 
Umeshasoma hiyo ripoti ya WB na kujua % ya watanzania below poverty line na ulinganishe na Kenya?, sasa kama wananchi wengi wa Kenya ni masikini, iweje wawe na maisha mazuri?
Hyo pia ungeuliza world bank MBNA waseme Kenya iko na maisha mazuri kuliko tz
 
Mm nafanya kazi bratha kwa supermarket hapa busia border supermarket iko na wifi ya bure safaricom airtel telkom wanadeal poa za bundle ucjali jamii forum najifurahisha tu usinilaumu ya bure mm ckufanya utafiti nikasema kenya has high quality of life kuliko tz kama unashida hapo peleka malalamishi un ama worldbank
Anhaa kwa hiyo Wi-Fi ya bure ndo inakufanya usiwe unatumia akili yako,wewe ni Google tu,huna muda wa kufikiri ni mwendo wa Google tu..
 
Back
Top Bottom