Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who told u😂😂😂👇👇👇👇👇


And what percentage of Tanzanians live below 1 usd tucompare is 49% bdo ni wengi kuliko Kenya na hyo ichoboy haitutishi un na worldbank walijua hyo b4 waseme Kenya has high quality of life kuliko tz ebu tafuta tweet yenye inasema tz iko na high quality of life kuliko kenya upost acha kuenda out of topic
 
One of the wonders of Africa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] After deadly terrorist attacks, a 2 years post Election Violence, Corruption "disease", Deadliest drought epidemic in the region and military activities Kenya still stands tall and stronger than ever!!
*But there is a heaven in the South......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The chosen nation.....adui anakosa amani
400px-2018_UN_Human_Development_Report.svg.jpeg
 
Hahahaha, kila siku mnalalamika kwamba tunawanyanyasa na kuwafukuza wakenya, kuna wakenya Mara nne zaidi wanaoishi na kufanya kazi Tanzania kuliko watanzania walioko Kenya

Mkenya tunamdharau na kila mkenya kwetu tunahisi ni jambazi, mwizi, tribalist, corrupt, na watu makatili na wenye sura na roho mbaya.
Evidence or your usual blubbering
 
Njaa ndio high quality of life, police killings and corruption ndio high standard of living?
Kenya tops Africa in police killings
Wacha kutapatapa ulisema Kenya has the highest crime rate i don't take you tanzanians seriously so police killings make you better than Kenya ukipata link kama hyo yenye inasema tz has high quality of life kuliko kenya unitag
 
This photo was taken from really far , Ingekua watani wa jadi wangesema Skylines 8 za maji wao [emoji1787][emoji23][emoji1787] , I took this photo so I know what I’m taking about .

View attachment 945327
Upperhill and westlands are CBDz....real companies house there Mr or Mrs ndinda wa kanesa it's not about some skylines.....for a fact kahawa estate has a better skyline than westy but make no mistake about westlands. Bei ya meals huko ni salary yako msee
 
Enhe by insulting others kahaba, housemaids, gays,monkeys and all the satanic words that you can think of. Kenyans have morals unlike you hypocritical creatures who praise themselves for doing evil.
By the way ,what is grid? How and when did Kenyans transform into a grid?

Hivi unajua kuwa Wakenya hamielewani na Somalia,Ethiopia, Uganda, Burundi na I am not sure about South Sudan,
Huoni Kama mna Matatizo? You should at least thank Tanzanians for being accommodative,
Itafika wakati na sisi tutawachoka
 
Wacha kutapatapa ulisema Kenya has the highest crime rate i don't take you tanzanians seriously so police killings make you better than Kenya ukipata link kama hyo yenye inasema tz has high quality of kuliko kenya unitag
Is police killings not crime?, that is extra judicial killings, don't be stupid.
 
And what percentage of Tanzanians live below 1 usd tucompare is 49% bdo ni wengi kuliko Kenya na hyo ichoboy haitutishi un na worldbank walijua hyo b4 waseme Kenya has high quality of life kuliko tz ebu tafuta tweet yenye inasema tz iko na high quality of life kuliko kenya upost acha kuenda out of topic
Overview
Soma hiyo report utajua asilimia ngapi ya watanzania wanaishi below poverty line
 
Maadui hawalali.....lol.
Nikiona vile watanzania wanatoa feelings oh sijui kibera or turkana...haha
Screenshot_20181124-113642_Opera%20Mini.jpeg
 
Wananchi utajua wanaishi vizuri wakiwa na basic needs kama maji kama healthcare kama education kama proper housing hyo yote wananchi was Botswana wanayo
Sasa unajua we jamaa uwe unatumia akili kidogo,ubongo wako uwe unafanya kazi,si kila kitu Google tu..
Hivi unajua Nigeria inahitaji hospitali ngapi ili kuwatosheleza wananchi wake nchi nzima?? Na Botswana inaitaji hospitali ngapi ili kuwatosheleza wananchi wake Botswana nzima?
Ni kiasi gani cha fedha hutumika Nigeria kununua madawa kwa wananchi wake? Na Botswana je?
Ni kiasi gani cha kms za barabara zinazohitajika kuunganisha Nigeria nzima? Na botswana je?
Ni ujinga kulinganisha nchi yenye population ya 2 mil kwa 50+ mil...ukiona nchi ina population ndogo then ina HDI ambayo hairidhishi basi ujue kuna tatizo kubwa sana kwenye nchi hiyo,unashindwaje kuwa na HDI inayoridhisha ilhali population yako haifiki hata 10 mil..
 
Kweli kabisa maana tunawalea sana hawa kunguni....

Ila uzuri wa Tz ni wakali wamipango tutacheka nao hivi hivi kwakisogo
Hivi unajua kuwa Wakenya hamielewani na Somalia,Ethiopia, Uganda, Burundi na I am not sure about South Sudan,
Huoni Kama mna Matatizo? You should at least thank Tanzanians for being accommodative,
Itafika wakati na sisi tutawachoka
 
Back
Top Bottom