joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, kila siku mnalalamika kwamba tunawanyanyasa na kuwafukuza wakenya, kuna wakenya Mara nne zaidi wanaoishi na kufanya kazi Tanzania kuliko watanzania walioko Kenya90% of Kenyans think Tanzania is one huge kraal of uncivilized creatures.......ukisema unaenda Tanzania unaulizwa which charity are you going to partake over there...lol.
Wakenya wamewadharau kama choo ya mganga afadhali the small clique of us Kenyans in jf can give you the privilege of an audience
Mkenya tunamdharau na kila mkenya kwetu tunahisi ni jambazi, mwizi, tribalist, corrupt, na watu makatili na wenye sura na roho mbaya.