Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Today nimecheka yangu yote , si hata mngeiba ile ya Morroco mtudanganye nayo
 
hii post yako ndio iliyonifanya nikuonee huruma na kuamua kukupuuza.

haya maneno uliyandika kwa huzuni sana mpaka nikajikuta nakuonea huruma.

btw naona siku hizi unapata back up toka kwa msichana Teargass.
Screenshot_2018-11-24-16-04-22-811_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
 
hii post yako ndio iliyonifanya nikuonee huruma na kuamua kukupuuza.

haya maneno uliyandika kwa huzuni sana mpaka nikajikuta nakuonea huruma.

btw naona siku hizi unapata back up toka kwa msichana Teargass.
View attachment 944997
Wewe mwizi wa picha unasema nini , Are you one of the Tanzanians that use 1% of their brain to reason??
 
housemaid,
Zuwenna humuwezi, kakuzidi kila kitu. urembo, busara na hekima.halafu kakuzidi nyota. mwenzio anapendwa na kila mwanaume hapa kenyaforum. hata wanaume wakenya wanampenda.

wewe sio tu hupendwi na sisi wanaume wa ktz, even your fellow kenyans don't like you. ni zero brain.
 
Back
Top Bottom