ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ichoboy tafadhali elimisha huyo ndugu yako mulisaa anawaibisha ya bure
Hata dr ndii pia anawaelimisha lakini hua munampuuza 😂😂😂😂
Ichoboy tafadhali elimisha huyo ndugu yako mulisaa anawaibisha ya bure
Kq iko sawa kulease ndege c mbaya inamake losses lkni haijaanguka cku itaanguka ndio itakuwa issue lkni kama bdo inaenda newyork itaanza kuenda Mogadishu mwaka ujao iende telaviv hakuna la kushutua wakenya
Ebu Google pia unemployment ya rate ya south Africa upost najua iko juu kuliko tz inamaanisha mko developed kuwashinda halafu pia ugoogle unemployment ya USA tuone ya Kenya pia ni 46% na tumewashindaAngalia uemployment rate ya Botswana compare na Tanzania😂😂😂 Alafu sema they are more developed than Tanzania😂😂😂 Jua pia Tanzania tupo na population kubwa sana😂😂😂😂Leo nakupa elimu ya bure.View attachment 944400View attachment 944401
Hivi ujashituka hadi sasa TZ inavyo nunua ndege zote on Cash na kujenga reli on Cash.??? Tulia yajayo yanafurahisha. Very soon ujenzi wa Tram Dodoma utasikia unaanza. Hii ndo tram👇👇👇 Kama kawaida engineer wetu atakuwa Yapi Merkezi. Hiyo nikazi yake ya MoroccoTafuta point ndugu yangu uniambie wacha kurudia point za kupigania watu Uhuru hzo nchi mlipigania vita SAA hii zmewashinda na sasa mkipiganie watu Uhuru hamujengi nchi yenu kwani ndio mlijua 10years ago Tanzania iko na gold diamonds gemstone na gas reserves hyo miaka ya nyuma hamuku jua tz ina rasilimali na magufuli akibaki na miaka 7 inahusu kenya aje hata sisi pia uhuru amebaki na miaka 4 na cjaambia mtu
Dar es salaam bado itazidi kukulambisha lolo😂😂😂
Ah ichoboy ww hunishutua SAA zingine ww hufollow david ndii na kuona news za Kenya ushawahi ona wapi kq ikipewa handout na govt ya kenya ndio useme inawaste taxpayers money kq inajitegemea kivyake serikali hainunuli kq ndege kama air tz kq inategemea mapato yake kununua ndege mpya kulease zingine kulipa parking kununua mafuta so hapo umenichocha kidogoKu make loss maana yake inatumia pesa za tax payers kufidia madeni ili kunusuri loss inayokula nyama zenu zaidi 5yrs😂😂😂
Newyork mulianza kwa pupa mumeishia wapi sasa😁😁😁 tatizo lenu nyinyi munapenda sifa pasipokufkiria negative impacts
Mko na power 24 hrs hapo Kenya😂😂😂Bora wakenya wapate stima 24hrs faida na hasara za kplc znawahusu aje
Yeye in critic wa serikali na hata pia david ndii angekuwa mtz magufuli angekuwa tayari ashamuuwa ama unasemaje ichoboyHata dr ndii pia anawaelimisha lakini hua munampuuza 😂😂😂😂
Dar es salaam inakulambisha lolo😂😂😂
Probox, kericho pako sawa...kijani
Dar es salaam bado inakulambisha lolo😂😂😂
Mko na power 24 hrs hapo Kenya😂😂😂
Mombasa raha..........hata wewe najua secretly unaipenda Mombasa city kuliko Dar....watanzania wamekwamia Mombasa city hawataki kiki za bongo tenaDar es salaam bado inakulambisha lolo[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 944449
Dar es salaam bado itazidi kukulambisha lolo😂😂😂View attachment 944410View attachment 944411View attachment 944412Naona ni Kericho vs Dar...Keericho inakupeleka mbio
A failed state is Kenya..Ichoboy, what is a failed state?