Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akiprove we nitag tu bro๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Asichojua nikuwa hizo nchi ni ndogo na pia zina population ndogo sana, hasa Botswana. Mimi na marafiki wengi niliojenga nao Mbweni wanafanya kazi Botswana na Namibia. Nisawa na watu wanavyosema Rwanda iko developed sana bila kuzingatia kuwa nchi yao na miji yao midogo sana.
 
ah ichoboy ndugu yangu uchumi was Kenya haupumulii mipira unaifahamu Kenya vizuri huu mwaka uchumi wetu unakuwa at 6% hyo c mbaya kuhusu deni tutalipa tu hiyo isikukoseshe usingizi kwa news za Kenya umeona kweli China ikituthreaten itachukua Mombasa port ama jkia wakati Kenya itashindwa kulipa deni basi uje unicheke

Mbona tayari mushatangaza kuuza hamuna pesa ya budget๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Asichojua nikuwa hizo nchi ni ndogo na pia zina population ndogo sana, hasa Botswana. Mimi na marafiki wengi niliojenga nao Mbweni wanafanya kazi Botswana na Namibia. Nisawa na watu wanavyosema Rwanda iko developed sana bila kuzingatia kuwa nchi yao na miji yao midogo sana.

Hana akili huyo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna mkenya mmoja alisema all sectors in kenya zinafanya vzr hii habari nafkiri itamfurahisha sana๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
From 5.3 to 1.9 heheh sio mchezo

hyo c mbaya ichoboy kenya power ni kampuni ya serikali aim yake ni kupeana service kwa mwananchi cku make profits na juzi tu ndio walishusha gharama ya stima serikali itawabail tu ucjali
 
Kericho
0a4b5a14a79e74c8f911cbefa99ed5f7.jpeg
5HrhtPR.jpeg
7abc568ca7f714ef1d35b6e719f43155.jpeg
04619f04766da8655d474b27d03925c7.jpeg
691c85b22f667ba03f1c68e6c08cd884.jpeg
b46e6d148919db47f193bcddfcc0d97c.jpeg
24a9499e63eb7a6dadbec07da2d59ce7.jpeg
294924722c1195bb458872c4ebf9b8ec.jpeg
16191a3beea39d4478c289f0e98c1994.jpeg
6c8dda3efae3e97c1ac130b432903de5.jpeg
81f74ef12499f8182e7caa1730322e7c.jpeg
b1920c67863c8f4fa3aa11a383dfc8e8.jpeg
 
hyo c mbaya ichoboy kenya power ni kampuni ya serikali aim yake ni kupeana service kwa mwananchi cku make profits na juzi tu ndio walishusha gharama ya stima serikali itawabail tu ucjali
Sio kufanya kazi kwa faida ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘ ni sawa na kq ndege za kukodisha mwenye ndege anasubiri hesabu yake mwisho wa alaf loss inakula nyama ya wakenya zaidi ya 5 yrs now๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
you were right my brother imagine someone saying Tanzania is more developed than botswana and namibia i quit this is their game and their rules i cant win not this way i surrender
Huu hapa mji mkubwa wa Botswana Gaborone. Ndo uko more developed. Hapa ndo center ya mji.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Siku nyingine usije ukasema kuwa Botswana or Namibia they are more developed than Tanzania๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wanaposema they are more developed wanakuwa wanaongelea GDP per Capita labda. Kinacho favour hizo nchi mbili nikuwa wana population ndogo sana kiasi kwamba wana import even experts kwenda kufanya kazi kwenye hizo nchi.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ They are many Tanzanians working in those countries as experts. Botswana serikali inakupeleka kusoma nje for free. Ukifika Malaysia wa Botswana wengi wanalipiwa bure na serikali kusoma huko. Because population yao ni ndogo sana
2018-11-23_22.12.18.jpg
2018-11-23_22.11.37.jpg
2018-11-23_22.12.18.jpg
2018-11-23_22.11.37.jpg
 
Haya sasa nioneshe link kua mushatoka kwenye failed state naisubiri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ leo kutamu sana humu
Mm cna link yeyote ww Google ukipata Kenya kuja unicheke na mbona hii failed state iko na high quality of life kuwaliko ebu nieleze bro
 
you were right my brother imagine someone saying Tanzania is more developed than botswana and namibia i quit this is their game and their rules i cant win not this way i surrender
Nakuwekea Population ya Botswana na Namibia ili uweze kujua kwa nini GDP per capita yao ipo juu kuliko ya Kenya na Tanzania. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Lakini ukija kwenye infrastracture za miji na GDP hawafiki hata robo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hapa tunawapa elimu ya bure. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Screenshot_20181123-222532.png
Screenshot_20181123-222459.png

Rwanda inazidi Population Namibia na Botswana mala tano(ร—5)๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ I always say Kenyans hamzunguki kwenye nchi nyingine za Africa.
Screenshot_20181123-223138.png
 
Sio kufanya kazi kwa faida ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘ ni sawa na kq ndege za kukodisha mwenye ndege anasubiri hesabu yake mwisho wa alaf loss inakula nyama ya wakenya zaidi ya 5 yrs now๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Bora wakenya wapate stima 24hrs faida na hasara za kplc znawahusu aje
 
Kq iko sawa kulease ndege c mbaya inamake losses lkni haijaanguka cku itaanguka ndio itakuwa issue lkni kama bdo inaenda newyork itaanza kuenda Mogadishu mwaka ujao iende telaviv hakuna la kushutua wakenya
 
Ha
hyo in rahisi Botswana ni 2.2 million na Namibia 2.5 million sasa unataka kuniambia population yao ndogo ndio inafanya wakuwe developed kwa shinda tafuta point population is resource when used well hata magufuli aliwambia mzae muwe wengi population is not an excuse hata Kenya iko na population kidogo na tumewashinda
Hacha kuongea sana. Angalia unemployment rate kati ya Tanzania na Namibia alafu niulize kwa nini? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Tatizo mnaongea bila kuwa na facts. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Screenshot_20181123-223916.png
Screenshot_20181123-223908.png
 
Le me show you how winery is done in Tz,
At this you have a long way to Go
IMG_1265.JPG
IMG_1266.JPG
IMG_1267.JPG
IMG_1269.JPG
IMG_1270.JPG
IMG_1268.JPG

Winery industry in tz starts at the Central [emoji1241], these are few from
Infinity Wine brands from outstanding grapes [emoji524] grown in semi arid fertile soils of Dodoma.
Beautiful people, beautiful moments,
 
hyo in rahisi Botswana ni 2.2 million na Namibia 2.5 million sasa unataka kuniambia population yao ndogo ndio inafanya wakuwe developed kwa shinda tafuta point population is resource when used well hata magufuli aliwambia mzae muwe wengi population is not an excuse hata Kenya iko na population kidogo na tumewashinda
Angalia uemployment rate ya Botswana compare na Tanzania๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Alafu sema they are more developed than Tanzania๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Jua pia Tanzania tupo na population kubwa sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Leo nakupa elimu ya bure.
Screenshot_20181123-224418.png
Screenshot_20181123-223908.png
 
Le me show you how winery is done in Tz,
At this you have a long way to Go
View attachment 944393View attachment 944394View attachment 944395View attachment 944396View attachment 944397View attachment 944398
Winery industry in tz starts at the Central [emoji1241], these are few from
Infinity Wine brands from outstanding grapes [emoji524] grown in semi arid fertile soils of Dodoma.
Beautiful people, beautiful moments,
Mkuu hachana na huyo El Matador. Bado analandalanda toka ajiunge na JF. Tena sikuhizi kapunguza video za YouTube๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nakuwekea Population ya Botswana na Namibia ili uweze kujua kwa nini GDP per capita yao ipo juu kuliko ya Kenya na Tanzania. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Lakini ukija kwenye infrastracture za miji na GDP hawafiki hata robo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hapa tunawapa elimu ya bure. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚View attachment 944384View attachment 944385

Rwanda inazidi Population Namibia na Botswana mala tano(ร—5)๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ I always say Kenyans hamzunguki kwenye nchi nyingine za Africa.View attachment 944389
You have made my day and night are you comedian sasa unagoogle vtu halafu unanishow umeenda ebu nieleze ulikuwa gaborone kufanya nn inafaa ufahamu kuwa botswana ni landlocked na 70% ya botswana ni kalahari desert na at independence it was one of the poorest countries in the world lkni walipofahamu wanadiamond walitumia vizuri kujijenga saa hii is one of the most prosperous countries in africa better than south africa illetracy is real my freinds
 
Mm cna link yeyote ww Google ukipata Kenya kuja unicheke na mbona hii failed state iko na high quality of life kuwaliko ebu nieleze bro
Ahahahah basi ikiwa huna maana yake hanujatoka kwenye kundi failed state world wide sasa pamabaneni na hali zenu kwanza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Back
Top Bottom