Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona hamna jipya humu. Wacha niwajuze yaliojiri nchini Kenya. Nchi iliyo na ustawi mkubwa kuliko yoyote ukanda huu.

Kuwasili kwa magari aina ya Mack armoured vehicles, ni mengi tu jinsi mnavyo tizama hapa kwenye picha
Screenshot_20181120-193916.png
 
Tanzania watu hawana hela ya kuhudhuria such shows kisa unakurupuka hapa eti Kenya oh Kenya kumbe sisi ndio tunawalisha wanamuziki wenu pamoja na omba omba.
sawa comedian inspector mwala.... tumekusikia.
 
Tena sio november yani hamisha magoli.
November ni india flight
Feb 19 ni china and thailand

Alaf nov to dec zinaingia ndege mbili mpya aina CS 300 kwa ajili ya african route

Soma vzr uelewe😂😂😂😂👏👏👏
 
Naona hamna jipya humu. Wacha niwajuze yaliojiri nchini Kenya. Nchi iliyo na ustawi mkubwa kuliko yoyote ukanda huu.

Kuwasili kwa magari aina ya Mack armoured vehicles, ni mengi tu jinsi mnavyo tizama hapa kwenye picha
View attachment 941428
Alafu bado alshabab wanawanyuka tu👇👇👇👇👇👇👇👇
Hata mungepewa raptor bado mungewashwa tu

Back
Top Bottom