Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wanamuziki wa Kenya, hawakubaliki hata nchini kwao,[emoji16] [emoji16] [emoji16]
yaani mkenya anaweza akakuimbia verse zote za wimbo wa mwanamziki taurus relay wa jamaica au verse zote za kwangwaru ya harmonize ft diamond platnumz , lakini kamwe hawezi kuimba hata verse moja ya wimbo wa jua kali au nyashinski.

nasikia sasa hivi wana struggle kukariri mashairi yote ya ngoma mpya ya rayvanny na diamond ya NYEGEZI.

haki wakenya ni watu wa ajabu sana.
 
Lol.....Nairobi nayo mnajua ina hela kushinda darislum nowonder mchana mnatusi Nairobi ilhali hamchelewi kufika [emoji1787][emoji1787]
tunajua wakenya wengi ni washamba wa music entertainment....so tunatumia hiyo advantage kuja kuchukua pesa zenyu.

au kuna ubaya katika hilo?
 
Sio lazima uamini hata hujawahi kubali. Sababu ya wanamuziki wenu kutoweza kuwakilsha hapa kenya anymore ni hawa vijana chipukizi...hebu lamba lolo kwanza kabla ukate tenje. Tafuta bundles ama wifi kabla ukurupuke.
 
So KDF kazi yao nini kula githeri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Vp congo..au bado mnasubiria mpewe ruhusa muingie kichaka muwamalize ADF kw masaa km mnavyodai....
 
Unatoka mishipa shingoni ukieneza propaganda........we love our music first. Hata kuna watanzania wanatamani kufika level ya sauti sol
 
tunajua wakenya wengi ni washamba wa music entertainment....so tunatumia hiyo advantage kuja kuchukua pesa zenyu.

au kuna ubaya katika hilo?
Sasa wewe utacompare swag ya Eastlando na tandale au mwananyamala kwa kopa.....fishing village ndio washamba wamejaa.......pesa za kenya nayo mnamezea mate because you know we can afford your cheap shows za 500 bob.hii pia msishangae mkichezwa kabaya.......tumechoka kupatia maskini za LDC support
 
hio ni creativity au uchafu pesa ya kununua magari mazuri hamuna mumekalia kuunda body kwenye malori [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Dar ukipata gari interior ziko hvo unitag...we unadhani ku pimp gari na uweke screens kila kiti ni tsh million ngapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bila kenya mwanamziki watz anahisi kuwa hajatoka...mwanamziki yyte yule wa bongo..km hajafika kenya hawezi toka kimataifa..thats a fact[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Bila kenya mwanamzimi watz anahisi kuwa hajatoka...mwanamziki yyte yule wa bongo..km hajafika kenya hawezi toka kimataifa..thats a fact[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,hebu msaidieni shisky kuvuta music industry ilyokwisha jifia.
 
Karibu kilizi cha taifa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23]
Unamaoni gani hapa kuhusu zile pesa mulizopoteza kusherekea[emoji116][emoji116][emoji116]

Unamaono gani kuhusu kupigwa bao kw drimulaini kuhusu safari za india pamoja na china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…