kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
housemaid,
wasanii wa bongo hawaji kenya kwa matakwa yao, wanaletwa na promoters wa kenya.
njaa na tamaa ya mafanikio ya promoters wa kenya ndio inayosababisha wavuke boda waje tz ku-make business deals na wasanii wa tanzania.
wasanii wa tz ndio wanaoleta profit kubwa kwa event organizers wa kenya kwasababu music event ambayo mtz ana perform inakusanya wahudhuriaji wengi.
you don't need a KCPE certificate to fathom that.