El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
TIBIIMM
We have boreholes dude..we dont depend solely on Nairobi water company....our Gdp n Nai equals gdp tzPamabaneni na hali zenu kwanzamunawaza makubwa alaf madogo yanawavueni nguo
So you compare kariako with mathare..hahaahahahahahahhaso good, ndio wanalinganisha na uchafu wao huuView attachment 938624
you usually compare Kariakoo with your filthy placesSo you compare kariako with mathare..hahaahahahahahahha
Haha its u who did that...so in simple terms kariakos is like mathare...you usually compare Kariakoo with your filthy places
that's how your corrupt head thinks, I'm not surprised thoughHaha its u who did that...so in simple terms kariakos is like mathare...
Are you virgin!? Please tell me.
Ahahaha maji hakuna sasa umehamia kwenye GDP nasubiria official source kua nai GDP ni kubwa kuliko tanzania nzima😂😂😂😂😂😂😂😂😂We have boreholes dude..we dont depend solely on Nairobi water company....our Gdp n Nai equals gdp tz
Endelea kusubiriaAhahaha maji hakuna sasa umehamia kwenye GDP nasubiria official source kua nai GDP ni kubwa kuliko tanzania nzima![]()
Ukisema "donkeys penis tower" hakuna shida.😂😂😂😂
ah aah... wewe lofa tu wa kawaida.Wakenya ni wa2 hatari mno, wengi wao wanaroho mbaya
shukran sana ndugu GENTAMYCINE.Kazi ipo!
Na hii ni kwa mujibu wa Kampuni / Taasisi ya Utafiti ya huko Ulaya iitwayo Charities Aid Foundation ( CAF ) ambao imedai kwamba Wakenya na nchi yao kwa ujumla ndiyo wanaongoza kwa kuwa na roho nzuri, ukarimu na huruma kuliko Waafrika wengine wote na wapo katika nafasi ya nane ( 8 ) Kidunia.
Nimejaribu kwa hali na mali kuitafuta nchi ya Tanzania hadi ' top 80 ' hadi hivi sasa sijaiona ila kama kuna Mwenzangu yoyote hapa aliyeiona Tanzania katika Utafiti huu anisaidie kuniambia ipo nafasi ya ngapi.
Hongereni sana na mno Wakenya na ama hakika kwa aina ya ' Matabasamu ' ya Rais wenu Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto na huku mara kwa mara wakionyesha ' Uungawana ' wao hadharani na kuwaunganisheni nyote bila kujali Dini zenu, Makabila yenu na tofauti zenu za Kisiasa hakika mnastahili.
Wewe kama kila siku tu Watu ni Kutekana, Kukomoana, Kupigana Majungu, Kutupana Baharini na Mitoni huku wengine wakipewa rushwa kuhama kutoka upande mmoja kuja mwingine na hapo hapo tena mara mwingine akigoma kuhamia upande fulani basi anabambikiwa Kesi ya ' Ufisadi ' na hujakaa sawa Mtu anaona raha kumuona Mwenzake akiwa na Shida na wala hapendi Kusaidia na Mwenyezi Mungu nae tumeshamsahau hiyo Roho Nzuri kama ya Wakenya tuitoe wapi?
Shikamooni Wakenya wote!
Source: Standard Digital.com
Nawasilisha.
ah aah... wewe lofa tu wa kawaida.
lowlife niqqa
Vibanda mobtried some photography today from KICC
View attachment 938615View attachment 938618View attachment 938620View attachment 938623