El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
hii ni ya which countryEven this building the links and renders are showing 48floors but right now iko kwa 50 na bado top out haijafanywaView attachment 935317
hii ni ya which countryEven this building the links and renders are showing 48floors but right now iko kwa 50 na bado top out haijafanywaView attachment 935317
Ethiopia, iko Addis Ababahii ni ya which country
lolIchoboy, kiukweli, kataa ama kubali. Hii ni posta au la. Halafu niambie imezidi nini Eldoret.
View attachment 934781
Hapa unaona TPA kwa kona!??? Halafu angalia barabara.
View attachment 934790
Sasa hii ni the same shit mkiambiwa dar sikuhz kusafi hamtaki kabisaHapo ni 2016 kidero akiwa governor,tangu sonko akue governor wa Nairobi imekua Safi kama pamba
Huu mradi wa nyumba 7000 mbona unasuasua sana. ..kigamboni
umeanza tenaHuu mradi wa nyumba 7000 mbona unasuasua sana. ..kigamboni
HahahaBila probox mtaugua
Avic 47TPA tower 35flr
Pspf twin towers 35flr
Mzizima tower A 35flr
PPF tower 35flr
Nitajiwe nyumba Nne Kenya zenye zaidi ya 35flr au 35flr kama zipo. ..Ila kama haiko toped out usiitaje
Haha mbona unataja nyumba moja bro shida nnAvic 47
Hahaha hiyo ndo inapatikana sasa hiviHaha mbona unataja nyumba moja bro shida nn
Mbona hua manasema Dar ina nyumba 3 ilhali mmesahau kwenu mko na moja ambayo bado hata haijakamilikaHahaha hiyo ndo inapatikana sasa hivi
Prism 33Mzizima tower B 33flr
MNF twin towers 30flr
Millennium tower 30flr
Ni moja ama sita ?Mbona hua manasema Dar ina nyumba 3 ilhali mmesahau kwenu mko na moja ambayo bado hata haijakamilika