Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu Dar unaweza onyesha Mombasa. Mombasa Raha. Kuingia Rahisi kutoka ni kama kushuka mchongoma.
View attachment 934004View attachment 934005View attachment 934006
Bin fija appartments
83CCCB10-89EA-40D4-8971-7F4D1321DC90.jpeg
17BBAA3B-F79F-4D09-81EC-5B798F261F1E.png
 
Viva DAR Naona inachakaza mombasa+nairobi residential areas kipigo cha mbwa mwitu mpaka nyani zinaleta beach resorts zilizopo kisumu,malindi,lamu na mombasa kuchangia Dar na kusema na residential areas....Hah
 
wewe ni goon la dunia nzima inamaana CBD haina residential areas? meet 432 park avenue, a 96 storey residential skyscraper in midtown Manhattan NYC aka New Yorks's CBD. S asa uniambie ni nani hajaenda shule. Ukitaka kagoogleView attachment 933975
Wewe Bana hujielewi. Na una Google!!! Angalia maana ya CBD. Twaweza kuwa na Condominiums on the peripheral of the CBD, just like in Manhattan. Go learn son
 
Huuuu uz unadhid kunifungua macho kenya hamna mji wa maana zaid ya Nairobi,,,bas mombasa ni upuuz wa slums kisumu ni coastal village,kuna vimitaa mitaa mingine kama kakamega,,kericho,nakuru,malindi etc,huu ni ukwel mchungu
Hata mimi zamani nilikua najua Kenya ni kama South Africa ila naona hamna kitu hata hio Nairobi ni vile ilijenga jina mapema ila hakuna kitu.
Tanzania ina miji kibao kila kona.
 
Back
Top Bottom