Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nacheza nae mbezi tu siendi nae mbali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nakuomba usimfikishe Upanga.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kwani hadi sasa kaisha ishiwa. Muda sio mrefu anahamia Nairobi.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mombasa
IMG_20181114_191025.jpg
 
Nakuomba usimfikishe Upanga.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kwani hadi sasa kaisha ishiwa. Muda sio mrefu anahamia Nairobi.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mbezi tu inamtosha huyu hatoki leo humu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mbezi tu inamtosha huyu hatoki leo humu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚anazitafuta google kwa kutumia tochi hazioni tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kaisha fika hadi kwenye villas za golf course๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
I have been to Dar and Mombasa.

Dar beats Mombasa in.
1.Population
2.Highrises

Mombasa beats Dar Hands Down on.
1. Posh residential eastate.
2. Hotels
3. Port and SGR
 
Aah. We uliisha kazi, jipe shughuli.
sijaamua tu kuwa serious na hii battle kwa sasa, ndio maana unaniona mda wote namuandama huyo dada yenu kahaba housemaid, namtumia kutuliza akili na kupoteza mda.

nikiamua kuwa serious hakuna mkenya anayeweza kusimama na mimi kwenye argument na facts. nadhani unakumbuka vizuri nilivyokunyorosha last year mpaka ukaamua kutokweka hapa jf kwa mda wa mwaka mmoja. shenztype
 
Wanjala nakuchezeshea mbezi beach tu bro๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuja budaaa๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ tuendelee bado sijaingia kawe mikocheni upanga ukishindwa nakuruhusu leta na nairobi bro
 
sijaamua tu kuwa serious na hii battle kwa sasa, ndio maana unaniona mda wote namuandama huyo dada yenu kahaba housemaid, namtumia kutuliza akili na kupoteza mda.

nikiamua kuwa serious hakuna mkenya anayeweza kusimama na mimi kwenye argument na facts. nadhani unakumbuka vizuri nilivyokunyorosha last year mpaka ukaamua kutokweka hapa jf kwa mda wa mwaka mmoja.
Aah. We kilaza Tu. Hamna lolote
 
I have been to Dar and Mombasa.

Dar beats Mombasa in.
1.Population
2.Highrises

Mombasa beats Dar Hands Down on.
1. Posh residential eastate.
2. Hotels
3. Port and SGR
Kila mkenya amefika Arusha, Moshi and now Dar
Let me tell you mbezi beach and mikocheni alone are bigger than all posh areas in Mombasa ...huwez compare dar na mombasa
 
Back
Top Bottom