game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,053
- 26,331
Leta yenu ya 80s na 90s tupambanishe..au nyakati hzo ilikuwa dar bado kwaishi wavuviNa hapa panafaa kuitwaje sasa kama vile vidubwasha ndio downtown yenu View attachment 924460
The source of information citizen Tanzania not IMF! Kenya has a GDP of$80+I don't know how to upload pics,so if you know how to upload pics you will be a degree holder from university of nairobi!shame..
watu kuishi kama wanyama unasema haiathiri uchumi 😂😂😂😂 kilaza namba moja👇👇👇👇👇True...eti wanapost slums.na km slums ingekuwa inaathiri uchumi wa nchi...basi hta DRC wangelikuwa juu ya kenya sai wakipepea...hawajiulizi kwnn slums ziko katika nchi zenye uchumi bora tu..like south africa...nigeria,egypt,Morocco,and even in the US..I don't know y tanzanians they always never accept a fact
Not badHabari kamiliView attachment 924463
Leta ya ripoti ya 2018Haijawahi kuwa 88 never,IMF wenyewe wanashangaa inakuwaje kenya wana GDP ya bil 88 usd!!..katika ripoti yao ya 2017 wametoa Kenya ikiwa na GDP ya 72 USD bill,ikifuata tz ikiwa na 55,huku Nigeria ikiongoza,inafuata afrika kusini,Egypt nafasi ya tatu,tell 'em your fellow Kenyans that "economic analysis is not for everybody, knowing how to upload a picture in jamiiforums,helps nobody to put themselves nearby the economic issues!
so ulijua citizen tanzania wanatoa source kwenye matako yako unafkiri unaeza kueka source za uongo twitter alaf world bank na IMF wakae wanakutazama tu😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏💉💉💉💉The source of information citizen Tanzania not IMF! Kenya has a GDP of$80+
mabanda vya nyuki sio siri mnamazingira machafu sana mabovu yaani 70% yawakenya ni machokoraa

74b 2017 na 2018 not yet matured my friend 😂😂😂😂👏👏👏 dunia ya leo hataupike data iungue iwe nyeusi watu watasema imeungua tuThe source of information citizen Tanzania not IMF! Kenya has a GDP of$80+
Kumbe uko nyuma hvoNimei-screen shot website ya IMF data 2017,but I don't know how to upload pics...
In east Africa only Ethiopia have bil 80 usd GDP per capital..
list 10 towns in kenya unazoziamini na mm nilete zetu 10 alaf tuanze moja baada ya moja nasubiria bro😂😂😂😂👏👏👏Leta yenu ya 80s na 90s tupambanishe..au nyakati hzo ilikuwa dar bado kwaishi wavuvi
Picha gani hapo ambayo si ya dar...acha kulia lia brother..ramani ya dar ndio hyoendelea kuokota okota picha ila mwiba umepenya huo wakenya mna maisha machafu yakunuka
Utakufa bure kijana.na hiiii haitakutosha![]()
Wow..vp na aerial view ya city centre
usilazmishe mwiba uwe maumari😂😂😂😂👏👏👏👇👇👇👇👇
asante kwa kuokota picha za google kazi iko hapa😂😂😂😂👏👏👏👇👇👇👇👇