Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Maneno matupu hayasaidii. GDP ya tz?Hicho ndicho kitakschowaponza......
Fanya kulinganisha tofauti ya Tz kwa kipindi cha nyuma na sasa kisha utagundua nachomaanisha
Hapo mwanzo tulilala na kama bado hadi leo hii mnafikiria kuhusu ile Tanzania ya miaka iliyopita iliyolala basi mtakuwa ni taifa lakipuuzi,,endeleeni na hayo mawazo




