komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Unaleta comments za watu km proofHawa jamaa wana tabia za ajabu sana.
Mbaya huwa wanaumbuka mapema sananaona wanavuana nguo wenyewe kwa wenyewe,wamefarakana.
Unaleta comments za watu km proofHawa jamaa wana tabia za ajabu sana.
Mbaya huwa wanaumbuka mapema sananaona wanavuana nguo wenyewe kwa wenyewe,wamefarakana.
Wanaziita estate wenyewe wanaona raha kukaa maghorofani.Shiit siwezi ishi kwenye nyumba hizo aisee zimechoka muda wowote zinaanguka..
Comments za wazungu zinawaumiza sana...yani wao wenywe hawaamini mpka wanalazimisha watu wao ndio wametengenezaHuyu nae kaja na wikipediaKweli Monky ni Monky. Hii inaitwa kumvisha kuku kilemba
![]()

Leta huyo mwenye kagundua m_pesa tumjue na anatokea wapi..Wakenya ni ma-zero wanapenda kujipa sifa ambazo si zao,eti m-pesa imegunduliwa na mkenya!!..dunia ya leo hii utamdanganya nani!
Nairobi's population: 3.5 million
Kibera's population: 2.5 million
Whaaaaaaat? Do the math

Enyewe...ni mji huo.


Hawa wasee wako nyuma sana ki fikra...watu wanashout ati wanajenga mjini ukiona nyumba ni mazingaombwe......all tanzanian towns have this problem of mainly focussing on the cbd and forgetting the rest of the city or town
What is this ??? Unacompea mji usio hata na lami city center na Arusha
huko achievement ni kuishi karibu na cbd haijalishi unajenga hema au box.......na city council pia inakupa kibali tuHawa wasee wako nyuma sana ki fikra...
Km mjini tu unplanned suburbs zao ni zile..je hko vijijini....si ni nomaView attachment 923933
Hehehe hawa jamaa inaonekana wanapenda slums sana
What is this ??? Unacompea mji usio hata na lami city center na Arusha
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
lakini some of these three star two star are overrated......theres one that sijui you book dinner for a good fortune then dinner comes and you open the pots..........unapata wameweka very little food ndio uaibike kuweka poa then the plate might be small ndio usipate nafasi ya kujiserve poa.i have started liking these middle class hotel apartments where you go get your food and cook for yourself.In kisii we did thatI will pay for you for one night
View attachment 923775
Jamaa wana sifa zote za kuwa nchi masikini.hawa pesa ya kufadhili team kwenda ghanaMLDC baby
well now you get it at least.
Bei ya nyumba moja hapo ni sawa na nyumba tatu mlizojenga vijijini kwenu.
hiii rongai😂😂😂👇👇👇👇
These ones are more planned than those of dar islum
hasira zimepanda😂😂😂😂👏👏👏👏👏Hawa wasee wako nyuma sana ki fikra...
Km mjini tu unplanned suburbs zao ni zile..je hko vijijini....si ni nomaView attachment 923933