Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya wote wachangieni ndugu zenu tuwaachie 👏👏👏👇👇👇

Kisumu vs daresalaam
tapatalk_1539404156933.jpeg
 
Yes ndo sehem mnapoweza kununua ardhi. Hata Tanzania vijijini zipo hizo nyum a.
Hhhhh!!watu kenya hujenga makwao...mjini ni mazingira ya kufanyia kazi kw wengi...na ukitaka kununua nyymba mjini kenya hujisumbui..apartments na estates ziko nyingi sana mijini..
Unanua lkn kwenu bado una kiwanja na unainua mjengo unaoutaka wewe likizo ni kwenda na kula bata tu
 
Dar kwa upande wa barabara Mombasa itasubiri sana, project Za barabara ni nyingi mno...suburbs mpya karibu zote zinaunganishwa na kwa barabara za lami ,zile zilizochoka zinafumiliwa wanaweka mpya. ..DMDP Pekee wanaproject ya zaidi ya 250km achilia mbali project zingine...Mombasa haitakaa iweze Dar
Mda ndio utasema
 
Hhhhh!!watu kenya hujenga makwao...mjini ni mazingira ya kufanyia kazi kw wengi...na ukitaka kununua nyymba mjini kenya hujisumbui..apartments na estates ziko nyingi sana mijini..
Unanua lkn kwenu bado una kiwanja na unainua mjengo unaoutaka wewe likizo ni kwenda na kula bata tu

watu wanashout ati wanajenga mjini ukiona nyumba ni mazingaombwe......all tanzanian towns have this problem of mainly focussing on the cbd and forgetting the rest of the city or town
 
Yani mumemzidi shetani tabia[emoji23][emoji23][emoji23]Shetani mwenyewe kawahamshia mikono kwa maisha mnayoishi hapo Nairobi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 922778View attachment 922780View attachment 922781View attachment 922782View attachment 922783View attachment 922784View attachment 922785View attachment 922787Banda la Mbwa wa Dar es salaam[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 922789
Kibera vs 3/4 of dar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom