Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now that qualifies Arusha over Mwanza?
Mwanza is our sec largest city Arusha sio mji mkubwa kama mwanza lakin unavitu vingi vyakijanja
Ni kama Dar ilivyo sehemu kubwa ya Dar iliokaa kijanja Ni kinondoni japo kuna ilala,temeke nk
 
Rongai inatisha😂😂😂😂😂 Kumbe Nairobi yote ni Kibera style😂😂😂
twzkpjyzm2qjsxer7590f7afa6830b.jpg
4631055_ronagi7_jpeg49a98b9ea092bf5d9456ade5142bf652.jpg
kenyaslide3.jpg
Rongai.jpg
 
First, I have never seen a thread of Kisumu vs either Mwanza or Arusha. Second, if the word overrated is anything to go by then I'm returning it to you. There is no overrated town in Tz like Mwanza.
but no taxi baiskeli in mwanza what about kisumu a city with taxi baiskeli how do u feel😂😂😂😂👏👏👏👏👇👇👇
A9ACA07A-FEF0-4F94-8B42-56FDD6947F83.jpeg
B3790159-9621-4EE9-89B1-744E78DB053D.jpeg
58039331-5C80-493A-B569-618F98788771.jpeg
21F4D251-312B-48EB-AFB0-5F19D578A367.jpeg
4210E8A9-BBEE-41CC-89C0-99035010332D.jpeg
48059226-36E3-4415-9C55-4FD488FA0A92.jpeg
92C93A26-6C28-480A-85C4-000DFC1E1C17.jpeg
 
Mwanza and kisumu are overrated
Serious towns like Dar, Nbo ndio tuko nazo napea sec vote kwa Arusha na mombasa japo kimaendeleo mombasa imeacha chuga
waambie watoe hio bandari alaf uone mombasa inabaki na nini😂😂😂 yani hakuna maendeleo mombasa ni mji ulionza kujengwa enzi na enzi lakini hakuna kimoja chenye maana 😂😂😂😂
 
Ushahidi wa 2007 ndio Mr wowowo unataka kutuletea?
Wachoma vifaranga. Nyinyi ni hayawani wallahi. Mnaweza teketeza viumbe vyenye uhai kama hivyo halafu mnajifanya humu vile nyie ni watakatifu.hao vifaranga si walisikia uchungu jamani! Hayatafariki
 
Ushahidi wa 2007 ndio Mr wowowo unataka kutuletea?
Wachoma vifaranga. Nyinyi ni hayawani wallahi. Mnaweza teketeza viumbe vyenye uhai kama hivyo halafu mnajifanya humu vile nyie ni watakatifu.hao vifaranga si walisikia uchungu jamani! Hayatafariki
ahahahhaha vigaranga mliotujazia sumu na magonjwa alaf tukubali watu wetu kufa haitawezekana kwa hilo, tribalism pekee ni laana achilia mbali kuuwana unalijua hilo😂😂😂😂💉💉💉💉
 
Back
Top Bottom