Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mleta mada tunaomba ukatafute simu nyingine. Hachana na hii Nokia😂😂😂Madukani hata kwenye display hakuna kwa sasa😂😂😂😂
61d0XOKXKVL._SX569_.jpg
 
Utasikia sisi ni MLDC
haya niambieni hapo hawa watu wanamaisha gani???? si bora hata uibe kuku utaonekana unaakili kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Mleta mada tunaomba ukatafute simu nyingine. Hachana na hii Nokia[emoji23][emoji23][emoji23]Madukani hata kwenye display hakuna kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 923122
Hahaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi ni Nokia for life. Siwachi. I use what I like. Not what people are Using. Nikihama Nokia naenda Nokia. [emoji1612][emoji1612][emoji1612] Nokia will always be my Number 1 brand.

Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
 
REDEEMER siyo mtu mzuri[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nimecheka sana leo hawa wazee wa M.PESA eti kuwa mbunifu wa M.pesa ni mkenya wakuu pitieni mjionee cheating za hawa machokoraa wakikenya
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 923061View attachment 923063View attachment 923064View attachment 923065View attachment 923066View attachment 923067View attachment 923068
Wakenya ni ma-zero wanapenda kujipa sifa ambazo si zao,eti m-pesa imegunduliwa na mkenya!!..dunia ya leo hii utamdanganya nani!
 
Basi ju unajua sana. Mpesa iligunduliwa na nani. Tell us. And bring evidence with it.[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Wakenya ni ma-zero wanapenda kujipa sifa ambazo si zao,eti m-pesa imegunduliwa na mkenya!!..dunia ya leo hii utamdanganya nani!

Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom