Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo mvua tuu apa mjn ,niaje lakini naona mnarushiana vijembesijaona nondo kabisa leo
 
Kwikwikwikwi. Umetoka kazini au ndio unaingia sasa. Hivi wewe watchman huwa unaingia usiku au mchana!!?
53b66b794c4b7cf9d74fe96656879cf5.jpg
 
Kwikwikwikwi. Je unaweza kunipatia list ya streets ambazo ni mbovu kabisa huko Nairobi. List only 20.
jaman hebu tuwamalize maana tokea majuzi surbub tu wamekazania wanazani hazipo huku.....hebu tuwape maana wanaushamba mwingi ila tuanze nao moja moja maana washajidanganya
 
wakenya msijidanganye hata siku moja kuhusu surbub tunazo za kutosha na tunawachapa kote kote kuanzia za watu binafsi compan ,government nhc na tukija kwa mmiliki wa nyumba moja moja kwa kila mwananchi ndyo kabisa tunawaaacha.......ndyo maana hamuonyeshi makazi ya anayemiliki mtu mmoja mmoja
 
Oysterbay, masaki,mbezi beach,habari beach,msanani, mikocheni, kwa matajiri wengi
Kijitonyama,sinza,chang'ombe, mbezi lous, watu wa kipato cha Kati, nk wengine watajazia

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Dar es Salaam - Wikipedia[/QUOTE]
Dar es Salaam Port
Dar es Salaam has a problem with slums. According to a United Nations estimate, 70 percent of the city's population lives in informal settlements. [10] The poorer residents crowd into downtown areas or large slums, many without running water or basic services. [10]

[11] Dar es Salaam has major infrastructural problems, including an outdated transport system and occasional power rationing.

lol @ the link provided
 
lol @ the link provided[/QUOTE]
Kwikwikwikwi. Umeibukia huko tena. Unajua transport system za Dar wewe? au unapiga kelele tu:-
1. BRT in Dar es salaam
2. Boats in Dar es salaam
3. Community Railway

Check BRT Network:-
download.jpg
 
Dar es Salaam Port
Dar es Salaam has a problem with slums. According to a United Nations estimate, 70 percent of the city's population lives in informal settlements. [10] The poorer residents crowd into downtown areas or large slums, many without running water or basic services. [10]

[11] Dar es Salaam has major infrastructural problems, including an outdated transport system and occasional power rationing.

lol @ the link provided[/QUOTE]

Hiyo link yako
hata mnywa Chang'aa anabadili na kuandika atakavyo
Weka video hapa tuone hizo slum
 
Back
Top Bottom