ushaanza na hiyo kauli yako ya bongo ya 2017...kuna nchi ambayo bado iko 1886 kwani?Tulia wewe usijifanye mjuaji sana hii ndio bongo 2017 na bado nakwambia
Ukitaka kuona zikifanya kazi ingia YouTube utaona IPO video unataka zitembee wenye picha au???????? Ingia YouTube video IPO kazi ikiendelea hahahhahahahahha😀😀😀😀😀aaah...naona tu ma excavator yameegeshwa tu apo kando?hio ndio kazi?ebu ngoja wakianza kuchimba utuletee picha
now you are just boring man......Hehehhehe utaumia sana bro na salender bridge imeanza 7.2 km modern stayed bridge na mwez ujao jiwe LA msingi linaekwa 😀😀😀😀😀😀😀
Utahangaika sana bro lakin huu mwaka kazi munayo
Povuuuuuuuuuuuuuuuuuu 2017 hiii😀😀😀ushaanza na hiyo kauli yako ya bongo ya 2017...kuna nchi ambayo bado iko 1886 kwani?
Hahahahhahahhaha nakupa information na mapema usije staajabu badae maana siunajifanya msemaji wa serekali😀😀😀😀😀😀now you are just boring man......
Lkn kumbuka majengo almost 80% ya DSM yamemalizika hii miaka miwiliAta nai hakuna UAP na Britam
Na hio bridge inayojengwa sasa ni yakipekee Africa sio EA, tuna modern stadium in east and central, tuna marine transport modern in east and central hahhahaha watatokea wapi hawaUbungo ni yakipekee East Africa
Yaani tutakuwa na Flyover ya kipekee EA
Tuna BRT yakipekee EA
Tuna Daraja lakipekee EA
Tuna jenga SGR yakipekee EA
Hapa naona wenzetu wakitushinda Slum
hapo wabaki nazo zakipekee EA
hivi ndio watu huanguka mtihani...umesema unaleta picha za ujenzi ukiendelea alafu unaonyesha maexcavator yameegeshwa....ungeonyesha kitu kama hiiUkitaka kuona zikifanya kazi ingia YouTube utaona IPO video unataka zitembee wenye picha au???????? Ingia YouTube video IPO kazi ikiendelea hahahhahahahahha😀😀😀😀😀
Tanzania walitangaza imetoka kwenye 3rd sahv ni 2ndYou keep asking suburbs because Kenya has advantage on that, Its like us to keep asking you to post BRT Buses or Bridges like Kigamboni because you have your own Matatu and serves the purpose in Nairobi. In Kenya I think most estates are owned by private entities and they develop them into good housing projects. In Dar es salaam everyone has his/her own plot and will develop it they way they wish depending on their. its Hard to buy all the plots and turn it into suburbs like yours. But in some areas things are changing, many govt open spaces have been turned to look like those suburbs you brag daily here. Some private companies are also buying land and coming up with beautiful satellite cities like Avic town, look at our social security funds too , developing a lot of good housing estates. NSSF Dege eco village, watumishi satellite towns etc.
To show you why DAR wont have some uniform housing estates like yours, Dar have areas with anyone building the kind of house they like. and I think someone is trying to tell you show us where your people build their own houses and not those uniform posh suburbs that few people can afford.
![]()
![]()
![]()
This area here stretches to Bagamoyo town, You will find beautiful houses built by people depending on their income and you are busy calling them slums.
![]()
Just went through google Earth na I think You still have many places like DAR, in short bado tunatembelea kichwa wote humu. We are Both still 3rd World. Forget kuwa kwenye ile list ambayo mmepetiwa na mstari mwekundu Kwa chini.😛😀
Ila ni aibu kama mpo Busy kushindana na Dar wakati mlitakiwa muwe sawa na singapore Noma sana. mnaongea mtafikiri ni developed nation.
na tupo sana tu kila kona.
Majiji 10 yenye mvuto zaidi Afrika, imetajwa pia East Afrika - millardayo.com
the only difference is that you skyscraper boom started early na ndio yanakamilika mapema,nai ndio inaanza which is why nyingi bado ziko kwa site prep na zingine ndio wanaanza kujenga...in the long run tutabaki palepale,nai with more skyscrapersLkn kumbuka majengo almost 80% ya DSM yamemalizika hii miaka miwili
Uko nyuma ovious mlitushinda ila c sahv
Ukitaka kujua angalia kwenye competition ya majengo af angalia na year of completion
Kwan uliambiwa zinapaa kwenda wapi??????alafu izi nguzo mbona nifupi ivi????
kabla bado hamujaweka jiwe la msingi Ubungo Interchange... hii inafanyiwa final touches.
P/s outside Nairobi
how old are you?Kwan uliambiwa zinapaa kwenda wapi??????
Hahhahahhhaha
13how old are you?
Unaniuliza kama we nani raila odinga au au mm nikuulize wewe ushatairiwa???? Hahhaahahhahahow old are you?
nshatahiriwa,,,now answer the question.how old are youUnaniuliza kama we nani raila odinga au au mm nikuulize wewe ushatairiwa???? Hahhaahahhaha
naona ako 10 mimi....hehee
Hio ndio ufananishe na ubungo interchange inamaana unajichekesha mwenyewe alaf unacheka mwenyewe hahhaahahaha bado sana 😀😀😀😀hivi ndio watu huanguka mtihani...umesema unaleta picha za ujenzi ukiendelea alafu unaonyesha maexcavator yameegeshwa....ungeonyesha kitu kama hii
![]()
![]()
![]()