Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar ikona bypass ngapi? Rafiki yangu alikua Dar jana ameniambia traffic jams leading to Dar ni mbaya sana kuliko Nairobi.
 
Dar ikona bypass ngapi? Rafiki yangu alikua Dar jana ameniambia traffic jams leading to Dar ni mbaya sana kuliko Nairobi.
Kwikwikwikwi. Tafuta ujue wapi kwenye Traffic jams kubwa kati ya Dar na Nairobi. Nairobi inaongoza.
 
Athi River, the jam was so big, from Kite to Nairobi!! Nairobi now needs really large roads just like those in places like Quangzou
C-Bk4srXoAAMkak.jpg
C-BnC6DUAAA6Kwm.jpg

Eastliegh Roads
16061179571_8b85cacacc_b.jpg
 
Dar es Salaam Port
Dar es Salaam has a problem with slums. According to a United Nations estimate, 70 percent of the city's population lives in informal settlements. [10] The poorer residents crowd into downtown areas or large slums, many without running water or basic services. [10]

[11] Dar es Salaam has major infrastructural problems, including an outdated transport system and occasional power rationing.

lol @ the link provided

Hiyo link yako
hata mnywa Chang'aa anabadili na kuandika atakavyo
Weka video hapa tuone hizo slum[/QUOTE]

io link imetumwa apa na rafiki yako Panzi. labda yeye ndio ameandika
 
Kwani kuitwa shoga utakua shoga..kwani hiyo picha nikituma ni wewe.
Picha unazoweka siyo nzuri. Ni watu wenyemalezi mabovu na wasio wastaarabu wanaweza kufanya hivyo. Wewe ukishindwa kwenye hoja unaanza kuweka picha zisizo na maadili. Jifunze kuwa mstaarabu. Hata kama kitu hukipendi jifunze kuweka vitu moyoni.
 
cz rehabilitation ya roads ndio inaenda sambamba na kuondoa izo nguzo kwenye barabara....ooh!!!! I almost forgot that common sense is not common to all people..hehee.waambie wenzako wasafishe cbd
So in your common "common sense" they PUT UP the poles and wires so they can remove them during rehabilitation of the road?
 
Dar ikona bypass ngapi? Rafiki yangu alikua Dar jana ameniambia traffic jams leading to Dar ni mbaya sana kuliko Nairobi.
hasa zile fly over zenu zaonekana hazina maana zetu tumeziweka sehemu muhimu ila nyie nahisi mnafanya flyover ni fashion show
 
Picha unazoweka siyo nzuri. Ni watu wenyemalezi mabovu na wasio wastaarabu wanaweza kufanya hivyo. Wewe ukishindwa kwenye hoja unaanza kuweka picha zisizo na maadili. Jifunze kuwa mstaarabu. Hata kama kitu hukipendi jifunze kuweka vitu moyoni.
We ukiishiwa ukaanza ushauri hapa
 
Back
Top Bottom