Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
vitu viingi tusasa kenya mnanini cha kushangaza sana
vitu viingi tusasa kenya mnanini cha kushangaza sana
nyie bado ila jitahidini ongezeni juhudi mtatoboa sio mnaanza kujisifia sifia kama Dubaivitu viingi tu
kati yetu na nyinyi, nani yuko hali mahututinyie bado ila jitahidini ongezeni juhudi mtatoboa sio mnaanza kujisifia sifia kama Dubai
embu lipeni madeni ya watu kwanza daah halafu kitu kingine muwashukuru wazungu la sivyokati yetu na nyinyi, nani yuko hali mahututi
madeni tunalipa na tutaendelea kulipa. hatujawai kulemewa na madeni kiasi cha kusamehewa deni lolote.... kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.embu lipeni madeni ya watu kwanza daah halafu kitu kingine muwashukuru wazungu la sivyo
Look at this one. CNN poll ni ya Africa jingai?How do Tanzanians think surely. Najua mnataka tuwaweke hapo.
Hya hata tukiamua kuwaweka bila votes in real sense.
1.Nigeria
2.S.A
3. Kenya
4. Ethiopia.
* Bado Tanzania haiqualify kwa list
*Let me be fair enough tulinganishe non LDCs.
1. S.A
2. Kenya
3. Nigeria
*Bado hamuonekani kwa list. Alafu bado mnalalamika, sasa mlitaka msaidiwe aje? Wapige kura inchi gani iko na Wachawi wengi ndio muonekane ama?
Tz ni bure kabisa.
View attachment 919432
huo ni wivu dada yangu😂😂👏👏👏Nalia nini jichoboy? Wasanii wenu wana kiburi sana ila huwa nawapa sapoti at least wawasaidie mtoke LDC
😂😂😂👇👇👇NyweeeeeeeeView attachment 920183
viitu gani ??? vitaje nicheke😂😂😂😂vitu viingi tu
nchi inayokumbwa na njaa kila mwaka na watu kufa kwa njaa unafkiri mutatoka kwenye kundi la failed state😂😂😂💉💉kati yetu na nyinyi, nani yuko hali mahututi
namba mutaisoma!!! upende, usipende ni shauri yakonchi inayokumbwa na njaa kila mwaka na watu kufa kwa njaa unafkiri mutatoka kwenye kundi la failed state😂😂😂💉💉
Unacompare 12 lanes na 2 lanes
Kwa taarifa yako wabongo Hawana ligi. Kifupi jiwekeeni malengo yenu tu sie huku tuna yetu.wazee wa marathoniwacha kujipa matumaini. kamwe tz haitawai kuifikia Kenya. whether you go to the moon and back... namba mtazidi kuisoma.
usinioneshe 12 just show me 10 only nasubiria bro😂😂😂😂👏👏👏Unacompare 12 lanes na 2 lanes
eheheh safari hii vyuma vimewakaza hamuamini kinachotokea😂😂😂👏👏👏namba mutaisoma!!! upende, usipende ni shauri yako


wakenya mnavisa eti sehemu inaitws kipoison
na nyie lini mutatoka kwenye kundi la failed state😂😂😂💉💉💉💉Eti wivu jichoboy? Si Mimi huwasapoti ingawa Mimi si fan wao. Nataka mtoke LDC. Ndugu ni kusaidiana