Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jana nimewagaragaza kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wamebadilisha kua dar vs nairobi + mombasa
Weweee!!!wacha kuruka ruka...hapa huaga hamuleti city zngme kwasababu ni uchafu...km dar tu ina vijiji...hko kwngne si ni balaa
 
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mataumia sana...mash cool office..mbasa..mwembe tayari...yani ina kila kitu ndani...nyinyi mnangangana n vitu dwarf[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
img-20130126-00056.jpg
 
Sema Lindi itakuja kuwa on fire hayo mazingira kwa jinsi navyoyasoma ni yakibabe sana kibiashara lazima eneo libufaishe taifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382] investment of 30b usd

 
Janerose niulize maswali yalioenda shule ivyo vitu vya aibu kamuulize mtoto wa std 2
 
Back
Top Bottom