Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muache ku-market Kibera n Mathare muendelee kung'ang'ania Tanzanian attractions mki-believe mnatuibia! At the end of the day we get twice ur revenues in tourism! Hata gnus wanawakimbia!
mugabe aliwaambia wakenya ni watu wenye kuhamisha vitu visivohamishika😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Muache ku-market Kibera n Mathare muendelee kung'ang'ania Tanzanian attractions mki-believe mnatuibia! At the end of the day we get twice ur revenues in tourism! Hata gnus wanawakimbia!

https://dailynews.co.tz/news/2018-10-305bd8262265cfc.aspx
You're the cry-babies who will discuss petty things in parliament eti mnaibiwa mlima just because the name of the mountain 🗻 has been written on a plane. Wakenya hatuna huo ujinga.
 
Mbona mmemzuia Bakhresa kuingiza flour huko? Na mbona mnalilia kuingia Serengeti? Kuna Mtanzania analilia kuingia Masai mara?
 
Mnalilia vitu za ujinga kama watoto. Eti Jina kwenye ndege. Come back ile siku utapata Bakhresa akijadiliwa Kwa bunge.
 
Comparing Kampala na Mwanza is like swallowing a pill larger than your throat.
Kampala is more developed than mwanza by far ,has organized suburbs and nice skyline ...sioni sababu ya kuweka mwanza kwenye league ya Kampala,Kampala inazidi hadi Adis Ababa, sina hakika kuhusu Mombasa lakin bado naona Kampala sio pa kuchezea
 
What's the tallest building in Kampala?
 
Haha for some reason every Kunyan respect watu wa Huko! Sijui waliwafanya NinI? Nadhani wanawapatia dawa ya kuhara na jiggers!
Nmewah kutana nao baadhi huja kutanua tu na kubadili mazingira,wengine ni wafanyabiashara wa vitunguu na mazao kama mahindi nk huja kulangua wanasafirisha,jamaa wanajua biashara na kutanua kwelikweli na kingereza mob
 
Back
Top Bottom